Nimuoe dada yangu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimuoe dada yangu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Fungo N., Aug 15, 2011.

1. Fungo N.

Fungo N. JF-Expert Member

#1
Aug 15, 2011
Joined: May 20, 2011
Messages: 252
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
kuna usemi wa kiingereza usemao ASK YOUR HEART BEFORE U TELL HIM/HER GOODBYE usemi huu unanipa wakati mgumu sana katika kufanya maamuzi magumu.Naombeni ushauri juu ya hili lifuatalo:mwaka 2005 niliingia kwny mahusiano na binti wa kihehe yaliyopelekea yeye kupata ujauzito baada ya miezi 5.2006 nijiunga kidato cha tano mbeya hadi 2008 nilipohimu f 6. Baadaye nilimfanyia mpango wa kurudia shule ambapo arudia drs7 na kufaulu vzr kwenda sekondary.2008 nilijiunga na chuo kikuu na hadi kufikia mwaka wa pili wa masomo mambo yalikua shwari.Baada ya hapo nilianza kupokea simu kutoka kwa dada zangu zikishusha tuhuma nzito zinazohusu wifi yao baada ya kurudi kutoka chuo nimefanya uchunguzi na kugundua si za kweli na zinalenga kutusambaratisha.Mmoja nikamtania juu ya adhima ya kubariki ndoa mwakani akasema nikimwoa atajing'ata kidole hadi kikatike ila wazazi wanamkubali sana kiasi cha kumlipia hata michango ya shule.Nifanye nn juu ya hawa

2. Fidel80

Fidel80 JF-Expert Member

#2
Aug 15, 2011
Joined: May 3, 2008
Messages: 21,976
Likes Received: 105
Trophy Points: 145
Huyo dada ako achana nae anapiga fitina tu ili umwache huyo mchumba ako ambae mmetoka nae mbali.

Cha msingi sikiliza moyo wako unasemaje kuhusu huyo dada.

3. Lizzy

Lizzy JF-Expert Member

#3
Aug 15, 2011
Joined: May 25, 2009
Messages: 22,224
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Sasa kwanini kichwa cha habari ni “NIMUOE DADA YANGU?“ .....!???

Muoe tu!!!

Mkalishe huyo dada yako chini ujue tatizo lake nini kisha umjulishe kwamba sio kazi yake kukufanyia wewe maamuzi ya nani umuoe au usiomue.Aachane na majungu ahangaike nae kujipatia wake.
Inawezekana akawa na matatizo japo hamjui/hajijui...sijawahi kuona ndugu mwenye wivu mkali hivyo na ndugu yake wa jinsia tofauti mpaka kufikia kutoa vitisho vya kujidhuru ikiwa mwenzake atamuoa/olewa na fulani.

Pia jaribu kuangalia kama anamchukia msichana huyo tu au hata ukijaribu mwingine itakua hivyo hivyo.Kama ni msichana huyo tu chunguza kwanini anamchukia hivyo....ikiwa ni utoto tu unamsumbua mpotezee!!

4. First Born

First Born JF-Expert Member

#4
Aug 15, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 5,315
Likes Received: 96
Trophy Points: 145
mke wako mke wa dada zako? Afu hapa kwa mwanafunzi napata mashaka, mwanafunzi hata kama ulimpa mimba leo anasoma bhana, utamwitaje mke/wifi wa dadaako?

5. n

nduu Member

#5
Aug 15, 2011
Joined: Aug 6, 2011
Messages: 12
Likes Received: 0
Trophy Points: 3
wee endelea na mipango ya kumuoa huyo binti ulotoka nae mbali kwani mawifi ndo zao hizo! hata wakizeeka hawaachi wivu! ni nature iwe wazungu au waafrika, wachina..... fuata moyo wako.

6. Mpatanishi

Mpatanishi JF-Expert Member

#6
Aug 15, 2011
Joined: Jul 1, 2011
Messages: 1,709
Likes Received: 43
Trophy Points: 145
Achana na dada, maadad mama na baba wamemkubali go ahead.
Kamata mchuchu huyo weka ndani ujilie vyako!

7. Vin Diesel

Vin Diesel JF Gold Member

#7
Aug 15, 2011
Joined: Mar 1, 2011
Messages: 8,402
Likes Received: 738
Trophy Points: 280
Mkalishe chini umuelimishe dada yako.
heading yako inaleta utata sana,ibadili tafadhali.

8. Fungo N.

Fungo N. JF-Expert Member

#8
Aug 15, 2011
Joined: May 20, 2011
Messages: 252
Likes Received: 0
Trophy Points: 33

nimempeleka shule mwenyewe ili kupunguza gape la kielimu pia sikua na mpango wa kuoa baada ya kumpa mimba hivyo nilitaka aendelee jupunguza vidato katika safari ya kuelekea kuoana bahati nzuri ni mzima kichwani

9. Jeji

Jeji JF-Expert Member

#9
Aug 15, 2011
Joined: Jun 28, 2011
Messages: 1,981
Likes Received: 4
Trophy Points: 135
achana dada yako fanya unachoona kwako ni sahihi,
ushasema ana tabia nzuri na wazazi wanamkubali kigugumizi cha nini?

10. kisasangwe

kisasangwe JF-Expert Member

#10
Aug 15, 2011
Joined: Feb 16, 2010
Messages: 294
Likes Received: 1
Trophy Points: 33
watoto wa kiume bana. sasa kama hukua na mpango wa kumwoa ulimdanganyia nini unda eitin wa watu. ok ni vema ulifikiri kumshawishi kurudi darasani ila kama na mama wa mwanao y usijifunge kibwebwe kuyaoga maji ulotia upupu mwenyewe. unadhani nani mwanaume mwenzio akulelee
mwanao.

watu wengi hasa wanaume hawajui athari wanazozipata watoto wanaolelewa na single parent. inakera inaudhi na inashusha hata akili. mtoto akianza kujitambua na akawa na watoto wenzake wanaolelewa na wazazi wote wawili inawapa shida sana. ni bora kuwa hata na baba mlevi kuliko kutokujua babako nani. na hii inakua kama laana.

kumwepushia huyu mtoto adhabu kisaikolojia oa huyo mke wa ujana wako. hao dada zako wana mawenge tu huenda wamekataliwa na kaka za huyo binti. kwani kujing'ata nini bana. kwani mbona hakujing'ata ulipoanza mahusiano na hako kabinti. madada/wifi wengine sijui wakoje.

11. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#11
Aug 15, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,250
Likes Received: 3,863
Trophy Points: 280
Veve banye hela! Ava hasawo vina lufwendege, uluhala lulikumadako!!!

12. Fungo N.

Fungo N. JF-Expert Member

#12
Aug 15, 2011
Joined: May 20, 2011
Messages: 252
Likes Received: 0
Trophy Points: 33

mke wa ujana wangu nimeipenda hii asante kwa kunipa moyo mkuu

13. Fungo N.

Fungo N. JF-Expert Member

#13
Aug 15, 2011
Joined: May 20, 2011
Messages: 252
Likes Received: 0
Trophy Points: 33

thank u

14. Z

Zedikaya Senior Member

#14
Aug 15, 2011
Joined: Aug 10, 2011
Messages: 119
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Chuo kikuu halaf unashindw hat kuandika tittle sahih? Sikuamin

15. Gaga

Gaga JF-Expert Member

#15
Aug 15, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 4,565
Likes Received: 20
Trophy Points: 135
Ni wivu kwa kuwa anaishi hapo kwenu na kachukua attention yako yote, na akikumbuka mlivyokuwa close baada ya huyo kuingia hapo labda u close umepotea, ni hali ya kawaida huwa inawapata hata wamama wenye watoto wa kiume, inabidi umwelewe, na ukae nae umweleweshe vizuri, zidisha ukaribu ili aione kama anakupoteza vile

16. Gaga

Gaga JF-Expert Member

#16
Aug 15, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 4,565
Likes Received: 20
Trophy Points: 135
Kwani kakosea nini na nyie acheni majungu, alimaanisha dada yake anavomwonea wivu anataka amwoe yeye?
hakuna kukosea hapo

17. Z

Zedikaya Senior Member

#17
Aug 15, 2011
Joined: Aug 10, 2011
Messages: 119
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Uliongea naye?

18. Fungo N.

Fungo N. JF-Expert Member

#18
Aug 15, 2011
Joined: May 20, 2011
Messages: 252
Likes Received: 0
Trophy Points: 33

that is all about thank u

19. A

Ave Ave Maria JF-Expert Member

#19
Aug 15, 2011
Joined: Apr 22, 2011
Messages: 10,757
Likes Received: 34
Trophy Points: 0
Wazazi wanamkubali, binti ana tabia nzuri tena ni mama wa mwanao, na kikubwa zaidi nyie wenyewe mnapendana......kumbe unangoja nini? Wivu wa dada yako usikuogopeshe ye anachohisi ni kwamba ukioa hautamjali tena kama alivokuzoea ndo maana anamuona wifi yake kama kikwazo! We oa ila usiache kumjali dada yako, msome na uende nae taratibu tu hatimae atazoea na kuona ni kawaida tu. Kila la kheri!

20. bryleen

bryleen Member

#20
Aug 15, 2011
Joined: Jul 28, 2011
Messages: 90
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
yani kama we unamkubali na wazazi pia mwambie huyo dada yako asahau na mwambie c yy anayemuoa ila ni ww na hata mkishaoana walai hakikisha mnakaa mbali na huyo dada yako asijeleta balaa

Loading...