lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 791
- 417
Muache binti wa watu, unatamaa tu Huna lolote watu kama nyie sizipendi tabia zenu huna hata haya umuharibie tu binti wa watu future. Wewe tulia na familia yako sijui Wanaume wengine mkoje. Huoni aibu unaomba ushauri ili utushirikishe uzinifu wako bado ni dhambi na utavuna unachopanda. Muambie ukweli huyo binti na muache na maisha yake.Kuna binti nimeingia nae mahusiano lakini bado sijavunja nae amri ya sita ila mimi nina mwanamke mwingine ambaye nimezaa nae mtoto mmoja na naishi nae.
Swali langu ni je nimueleze ukweli ili ajue yuko kwenye position gani au nikae kimya mpaka nitakapofanikiwa kumgegeda ndo nimueleze ukweli ? Hofu yangu ni kwamba nikimueleza ukweli anaweza akakimbia mazima.
Naombeni ushauri wenu.
Mungu wangu! Yaani ungekuwa karibu ningekurabua kofi la kelbu!Kuna binti nimeingia nae mahusiano lakini bado sijavunja nae amri ya sita ila mimi nina mwanamke mwingine ambaye nimezaa nae mtoto mmoja na naishi nae.
Swali langu ni je nimueleze ukweli ili ajue yuko kwenye position gani au nikae kimya mpaka nitakapofanikiwa kumgegeda ndo nimueleze ukweli ? Hofu yangu ni kwamba nikimueleza ukweli anaweza akakimbia mazima.
Naombeni ushauri wenu.
Ukweli utakuweka huru......Ridhika na ulichonacho