Nimueleze mjomba wake?

unasema miez niliolewa November ... December wakaja wanafunzi kuja kusoma tuition mjini acha katika maisha yako usije ukamshaur mwanao kuolewa na wasukuma
Ndoa yako ni kizungumkuti, pole
 
Haaa haa Kinyampera asiejijua!
 
Et mjomba wake, yaan hata kusema "mme wangu" ni shidah?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
maimatha
Nilipitia exactly unachopitia
Binafsi huwa naongea il nikiongea zaidi ya mara moj
Nanyamaza na kupuuzia
Yule binti alifanya visa
Halafu anazunguk kwa majirani anasema namnyanyasa
Alianza tabia anatoka usiku anarudi alfajiri
Nikaamua nafunga milango yote alivyorudi akaa nje mpaka mjomba wake akamkuta
Akadai alienda kuchota maji nikamfungia nje

Mjomba ake alinisema sana
Nikamwambia kama unamtaka nakuachia mimi siwezi kushindana na mwanamke mwenzangu ndani ya nyumba yangu mwenyewe
Alivyoharibu akajiona amebeba mimba akatafuta namna ya kuondoka mwenyewe kuepusha aibu.

Nikamwambia mjomba binti yako ana mimba akanisema sana, halafu wakaungana na wakwe kusema namnyanyasa mjukuu wao,
Walivyokuja kuujua ukweli kila mtu ananionea aibu

Kikubwa shika msimamo. Itisha kikao cha dharura wakati mume kakaa seblen ueleze A-
Z
Umpe rules na mjomba akiwepo hapo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mgeni aje kwangu halafu anipande kichwani haiwezekani kabisa lazima afate masharti ya nyumbani kwangu.
...Unaendekeza Unafiki wa sisi Waafrika ndugu.
Yaani mtu yuko kwenye Himaya yako halafu hana adabu hivyo na wewe unamnyamazia tu anakupanda kichwani unaishia kuja kulalamikia huku JF, mpendwa?
Ama ni kama alivyosema mkuu mmoja humu kwamba labda na wewe hujaolewa ndoa ya kweli hivyo Hujiamini?
Uswahili ambao mmeishafanya wa Kuoana kisha miezi Miwili wameishawaletea mzigo, halafu mzigo wenyewe hauna adabu hivyo halafu bado unauchekea..!!! Timua !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole dada huyo bint ashndwe na alegee hilo ni shetan lataka kuharibu ndoa yako,cha msngi mchane mble ya mjomba wake usiogope kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jaman lakin punguza ukal wa.maneno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umekosea hii comment au mlengwa ni mimi 🤔
 
huyu ni wewe!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…