Nimtafune?

Nimtafune?

Habari za humu jf,

Nipo kimasomo hapa Dar es salaam ninaishi geto moja na mshikaji wangu yaani tumepanga pamoja kushare cost sasa yule jamaa yangu ana demu wake mmoja kisu kweli huwa anakuja pia pale geto.

Sasa siku moja alikuja geto hakumkuta mshikaji sasa katika kupiga stori za hapa na pale akawa ananiambia mpenzi wake yaani jamaa yangu hawezi shughuli i.e hamridhishi kitandani.

Sasa ninajiuliza ananiambia haya kwanini; au anataka nimtafune? ila jamaa akijua si ugomvi?


Sent from my iPhone using JamiiForums
mpakue
 
Kumuongelea mwanaume mwenzio na demu ake ni dalili ya awali kabisa ya u snitch
 
Usithubutu kufanya huo upuzi hata kdgo maana utavunja uhusiano wa pande zote mbili.Yaani utavunja Urafiki Kati yenu wewe na huyo jamaa wako na pia utavunja uhusiano wa huyo jamaa na demu wake.

Wanaume huwa tunasema hutakiwi hata kumtongoza ex girlfriend wa rafiki yako.
 
Fanya kilichokuleta dar usije ukaondoka marehemu au malinda yakapotea 🚶🚶🚶 ni hayo tu
 
Back
Top Bottom