sheria namba moja ya pesa, ukipewa usiikatae ukiikataa utapacha matatizo makubwa sana duniani!
umeniua mbavu na KINEGA!! VINEGA KOMAAA!!Kamua hiyo minoti wewe unakuwa ka sio kinega
mpatanishi sheria ziko wazi kwa wanaozijua !haaah haaah haaah mkuu lol
Wakuu, nilitendwa na dada mmoja miaka mitatu iliyopita. Nilipata secondment Nigeria kikazi kwa kama miezi kumi hivi, baada ya kurudi nikamkuta na kitumbo cha miezi 3. Huyu alikuwa mtarajiwa wangu ambaye tulifahamiana na kuaminiana sana kiasi hata cha account na vipato vyetu kuwa wazi kwa wote. Baada ya kutendwa sikuwa na hamu tena ya kuwa na mahusiano, maana sikuwa nawaamini wadada tena. Niliamua kufocus kwenye shughuli zangu binafsi ambazo kimsingi zimenipa maendeleo kiasi.
Pamoja na kwamba dada huyu aliolewa, lakini kwa kama miezi 14 sasa, amekuwa akinitafuta mara kwa mara akiomba msamaha na kusisitiza kuwa bado ananipenda. Nimekuwa nikimkwepa sana lakini hakati tamaa kila ninakojificha, hunitafuta mpaka kunipata. Nilimkalisha chini na kumuonya kuwa kamwe siwezi kumrudia maana amekuwa mke wa mtu na ni hatari kucheza na wake za watu.
Cha ajabu nimekuta kaniwekea kwenye akaunti yangu fedha taslim kama 4m na kasha kunitext pole kwa yote, fungu hilo likufariji. Baadaye alituma ujumbe kwa email akionyesha masikitiko yake kwa aliyoyafanya na kusema nipokee hizo hela na wakati wowote nikiwa na shida nimtafute maana yuko tayari kwa lolote.
Kwa ufupi nimeapa SIMTAFUTI hata kwa dawa. Wadau mnanishaurije, nimrudishie pesa zake?
Wasalaam,
HorsePower Kufakunoga