Nimrudishie pesa zake?

Inaonekana anakupenda labda alianguka siku moja ndo hicho kitumbo kikatokea..na sasa anajutia maamuzi yake!!
 
usikubali kupokea hizo hela....atakuzoesha kukutumia fweza mwisho wa siku utanasa kwenye mtego wake
 
aisee mbona mimi wazamani huwa hawanitumii pesa?natamani akosee aweke hata kwenye mpesa yangu!kula pesa kijana na kwake usirudi,tena ukizimaliza muombe zingine mwenyewe ataanza kukukwepa.
 
Mrudishie fedha zake,na ukae mbali naye, siku zote jua kwamba ukisha pokea hela ya mtu umeshauza uhuru wako na unapoteza nguvu ya kusimamia maamuzi yako hata ukijidai kujitutumua hiyo ndiyo kanuni ya fedha ilivyo.

Other wise maamuzi ya kweli unayo mwenyewe moyoni.
 
Kurudisha hela washikaji ni jambo gumu! Hususani hela ambayo mtoto katoa mwenyewe kwa mapenzi yake. Mimi binafsi siwezi, sijui nyie wenzangu.
 
mwambie akuletee risiti za hizo hela alizodeposite na kila akideposite akupe risit kabisaa mumewe asije akaziona itakula kwako.
hela kamua ,process za kurudisha itakucost sana,,,,,ila mke wa mtu usiguse.
 
Horsepower, hyo kiboko...
Nahsi Dada bado anakupenda, ila ameolewa na jamaa kwa tamaa za hela...
Wapo wanawake lukuki wanaowahonga wanaume coz wanawapenda..
Ushauri :- kula hela, usimpe penzi..
 
Tafuna pesa kwa raha zako, kwani ulimuomba... jilie lakini MARUFUKU kurudi kwake.
 
Huyo anakupenda na anajutia alichokifanya.Usirudishe hiyo hela ,itumie.Usiogope kuwasiliana naye,ni binadamu kama wewe,ya kesho na keshokutwa huwezi kujua,besides hata condition ya ndoa yake kwa sasa na ilikuwaje akapata mimba na kuolewa na mtu mwingine huwezi kujua.
 
Huyo anakupenda na anajutia alichokifanya.Usirudishe hiyo hela ,itumie.Usiogope kuwasiliana naye,ni binadamu kama wewe,ya kesho na keshokutwa huwezi kujua,besides hata condition ya ndoa yake kwa sasa na ilikuwaje akapata mimba na kuolewa na mtu mwingine huwezi kujua.

inaonesha Bishanga una mature personality pia uko na busara sana jamani! I thnk mshkaji akupe namba yake ya simu umpe mawaidha ya kiutu uzima live!
 
Mrudishe hela zake tena mwambie THIDANGANYIKI.
Usipende vitu vya bure tena vya dezo.
 
Hiyo fedha imetoka kwa mpenzi wa zamani kwa hiyo ni fedha halali.Tumia ila usimege kitumbua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom