Usirudiane naye, huyo mshamba atakuwa alipagawa na life ya Chugga, atakuwa kachakazwa sana huku Chugga. Asije kukuambukiza zigo moja la UTI sugu ya The HubHello wana JF, twende kwenyee mada husika.
Naitwa Bk, nilikuwa kwenye mahusiano na mwanachuo wa chuo fulan, tulianza mahusiano toka mwezi wa 4, tulidumu kama miezi miwil halafu akaenda field tukatengana kwa muda, mimi nikiwa Moshi yeye yupo Arusha.
Baad ya miezi miwili akawa haeleweki, yaani hajibu kwa wakati, mara asipokee simu. Basi nikaamua kuachana naye kwa amani. Baad ya miezi kadhaa mbele anakuja leo hii ghafla anataka turudiane.
Je, nifanyaje na nina mpenzi mwingine?
Ushaur
nilikuwa nasoma report ya Mwakyembe leo hii, watu hawataki kukubali kuwa uwezo wao ni mdogo. Siku hizi kuna vyuo hata ukimuokota machinga ukampeleka chuo anapata degree bila shida. Sasa hawa ndo wanalalamikia kufelishwa kwakuwa wamezoea vya kunyonga! Na hao 10% walipitaje hata kama ni wachache?Ajabu kabisa. Hawa ndio wanakwenda School of Law, 90% wanafeli, halafu wanasingizia wakufunzi kuwafelisha, kumbe uwezo wao ndio mdogo. Elimu ya Tanzania kwa sasa imekuwa majanga. Unakutana na mhitimu wa Chuo Kikuu lakini uwezo wake wa kiakili hauna tofauti na aliyeamaliza Kidato cha Nne aliefeli.
utoto raha sana. ninyi ndiyo wasomi wa kizazi hikiHello wana JF, twende kwenyee mada husika.
Naitwa Bk, nilikuwa kwenye mahusiano na mwanachuo wa chuo fulan, tulianza mahusiano toka mwezi wa 4, tulidumu kama miezi miwil halafu akaenda field tukatengana kwa muda, mimi nikiwa Moshi yeye yupo Arusha.
Baad ya miezi miwili akawa haeleweki, yaani hajibu kwa wakati, mara asipokee simu. Basi nikaamua kuachana naye kwa amani. Baad ya miezi kadhaa mbele anakuja leo hii ghafla anataka turudiane.
Je, nifanyaje na nina mpenzi mwingine?
Ushauri wenu kwangu.
😅😅😅 Ashapigwa chini Sasa anatafuta loose Ball kama weweHello wana JF, twende kwenyee mada husika.
Naitwa Bk, nilikuwa kwenye mahusiano na mwanachuo wa chuo fulan, tulianza mahusiano toka mwezi wa 4, tulidumu kama miezi miwil halafu akaenda field tukatengana kwa muda, mimi nikiwa Moshi yeye yupo Arusha.
Baad ya miezi miwili akawa haeleweki, yaani hajibu kwa wakati, mara asipokee simu. Basi nikaamua kuachana naye kwa amani. Baad ya miezi kadhaa mbele anakuja leo hii ghafla anataka turudiane.
Je, nifanyaje na nina mpenzi mwingine?
Ushauri wenu kwangu.
Muache huyo mpenzi uliyenae halafu rudiana nae ngedere weweJe, nifanyaje na nina mpenzi mwingine?
Mkuu Mimi huwa sijali,Inshu kama hii ni ngum kama mlibahatika kuzaa