Nimpende nani:asha,mariam ama jenny

Hivi kweli utakuwa tayari kufata ushauri wa wana jf? maana kila mtu atakuja na ushauri wake Nadhani wakati wakuchaguliwa wenza ulishapita.
 
jamani leo nikisema hapa nitakuwa mkali sana ila ebu kijana niambie wote hawa una toka nao as friends ama umesha propose kitu kwao?
 
jamani leo nikisema hapa nitakuwa mkali sana ila ebu kijana niambie wote hawa una toka nao as friends ama umesha propose kitu kwao?

Mimi ndio maana nimeamua kuwa msomaji tu maana nisijenikala ban ya kwanza tangu nizaliwe!
 
Ukiacha kazi hapo ukaenda sehemu nyingine utatuambia maneno hayo hayo. Hao wako weeeengi saaana tembea uone kaka.
kupenda watu hawashauriwi. Labda kama umgeni katika kupenda. na hata ikitokea tukakushauri katika tamaa ni sisi ndio tutakushauri kwa vigezo vyetu na sio vya kwako.
Tukikushauri katika tamaa utatuuliza tena " NIANZAJE KUMWAMBIA HUYO MLIENISHAURI?"
 
Mimi ndio maana nimeamua kuwa msomaji tu maana nisijenikala ban ya kwanza tangu nizaliwe!
alafu mie huwa nina hasira sana na watu ambao wanacheza na utu wa wenzao. ngoja nikae pembeni kwanza. thanks god he is not my Klein
 
unataka tuusemee moyo wako. acha tamaa wanawake wako wengi wazuri utapendaje watatu kwa wakati mmoja? haujielewi tamaa tu zimekuzidi huna haya!
 
Huu ni uongo kwasababu umewataja kwa majina yao na inawezekana kabisa wanaitembelea JF,kwahiyo utakuwa ushatibua dili lako wewe mwenyewe(in case ni ukweli).Women gossips,you know that.

Hii itakuwa changamsha genge tu.So mbaya kwa kupoteza muda kwenye ku chit chat huku MMU, kwasababu inawezekana kuna walioko kwenye situation similar to this one.
 
Huyo wa mwisho,"Jenny",tayari hawezi kuwa naye,maana kuna wakati anamdanganya yuko "shamba",sasa hapo hata hawaishi pamoja.lol!

Kwa maneno mengine ni huyo Jenny ni way above his league, hapo naona kama nimpigie kura Miriam, aisee kumpata mtu ambae hakuboi 'guaranteed' is a blessing. Huyo Asha watashindwana tu sababu mleta mada inaonekana ana vi element vya u-play boy... Lol.
 

Asha, Mariam na Jenny ni wadada hapa kazini maeneo flani katikati ya Jiji hili la karaha (Bongo Dar-Es-Salaam).

Asha yuko risk management department,Mariam yupo Operations na Jenny nipo nae Credit Department. Hao mabinti kila mmoja ana sifa za kipekee.

SIFA KUU ZA ASHA

1.Ana Miaka 21 - Binti Kigoli

2.Urefu Wake ni about 5'6

3.Ni Slim But Mgongo umetanuka kwa uzuri kabisa. You know What I Mean..lolz

4.Kabila lake ni Mmachame - Kitu Cheupee

5.Mpole ila anaonekana ana wivu sana - B'Coz Akiniona na Chat Na Maduu Wengine Kwa Canteen Huwa Ananipotezea

SIFAA KUU ZA MARIAM

1.Ana Miaka 24

2.Urefu Wake ni about 5'4

3.Sio Mnene Sio Mwembamba - Size Ya Kati

4.Ana Miguu mizuri

5.Ana Hips Za Ukweli - Akivaa Jeans ziko za Friday - Watu Mate Huwatoka Tiririi

6.Ni Muongeaji Sana - Nikiwa Nae I Dont Feel Bored

7.Kabila Lake Ni Mpemba - Lafudhi na Sauti Yake Ya Kubana Huwa Inaniachaga Hoi!!

SIFA KUU ZA JENNY

1.Umri wake ni Miaka 27

2.Rangi yake ni maji ya kunde -

3.Kitu kimeenda hewani about 5'9 akivaa heels huwa tunalingana - am about 6'2

4.Ana Usafiri Binafsi - So Huwa Hanisumbui Sumbui Na Lifti Kama Asha

5.Ana umbo lenye mvuto - Yaani hata kuelezea inakua shida.

6.Anapenda Starehe Sana - Kila WeekEnd Anataka Tutoke At My Own Money (Kwake Cost-Sharing Ni Issue) - Sometimes Huwa Nadanganya Naumwa ama Niko Shamba


So, wadau wa MMU msaada jamani nimpende nani?

Taja sifa zako tuzidadavue hapa na kuona nani atakufaa.
 
"Loooh! Ama kweli nyakati za mwisho zimekaribia" Ushauri tafuta wanaojua kupenda wakufundishe the meaning of L O V E, then urudi tumalizie ushauri.
 
Back
Top Bottom