Nimle, au nimpotezee binamu yangu?

ka,a ja,bo dogo kama hili huwezi kuamua mwenyewe maisha yako yako hatarini
 
kaka yake na mama( mjomba) ameoa mke, mke wake namuita shangazi.. sasa uyo shangaz ana kaka yake pia ,, uyo kaka yake shangaz ndio anamtoto wa kike ndie namuitaga binamu.. sio ndugu zetu wa damu wameolewa kwenye ukoo wetu tu
Hapo sawa. Hapo nimekupata. Huyo ni halali yako mkuu. Kwa sababu hata mtoto wa kaka yake mama bado ni halali yako, sembuse mtoto wa kaka yake mke wa mjomba? Tafuna mkuu.
 
Japo sishauri zinaa, lakini sioni undugu wowote hapo. Yaani mke wa mjomba wako (shangazi) si ndugu yako kabisa sasa iweje ndugu za hao shangazi yako wawe ndugu zako? Hapo unaoa kabisa, hakuna undugu kuna ujamaa tu wa kuoleana. Imagine mazingira ya kijijini, wote mnaishi kabila moja, unadhani kuna familia utaenda kuoa ambayo hamjawahi kuoleana?
 
ok .. sawa sawa,, ila tayar kashaliwa mapemaaa asbh
 
Mwenzetu ni muhindi ama mwarab kutaka kumla nduguyo?
 
Ungeomba ushauri kabla haujamtongoza.

Kwasasa unatuchora
 
Mpende kama rafiki,jamaa ila sio kweny kuvuana nguo wanawake nawajua habari utazipata mtaa wa saba
 
Piga huyo binamu mkuu, acha kuomba ushauri watu watakwambia ni haramu!

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…