Nimle, au nimpotezee binamu yangu?

Nimle, au nimpotezee binamu yangu?

chapa iseme

Member
Joined
May 31, 2025
Posts
70
Reaction score
105
Habari wana jamiiForums...

Imekuwa miezi mingi toka nijisikie hali ya tamaa juu ya binamu yangu,, ananiita kaka yeye ni mdogo kiumri ila tayari ana mtoto na hajaolewa, naishi nae jirani na kwangu ndiko amepanga.

Sasa juzi nimejikuta namtongoza nae kakubali ila jana nimefikiria nikaona kama nimefanya kosa..

Nae sasa ndio kawaka moto kila muda anatuma sms za mahaba juu yangu.. Je, ni mle au nimpotezee iwe tu kama niliteleza?

Ushauri tafadhali ni mtoto wa kaka ya shangazi yaani mke wa mjomba
 
Habari wana jamiiForums...

Imekuwa miez mingi toka nijisikie hali ya tamaa juu ya binamu yangu,, ananiita kaka yeye ni mdogo kiumri ila tayari ana mtoto na hajaolewa ,, naish nae jiran na kwangu ndiko amepanga.

Sasa juzi nimejikuta namtongoza nae kakubali ila jana nimefikiria nikaona kama nimefanya kosa..

Nae sasa ndio kawaka moto kila muda anatuma sms za mahaba juu yangu.. Je, ni mle au nimpotezee iwe tu kama niliteleza?

Ushauri tafadhali ni mtoto wa kaka ya shangazi yaan mke wa mjomba
Pumbavu zako, binamu ni ndugu yako wa damu maana ni mtoto wa shangazo yako. You are blood related, near blood related!
 
Habari wana jamiiForums...

Imekuwa miez mingi toka nijisikie hali ya tamaa juu ya binamu yangu,, ananiita kaka yeye ni mdogo kiumri ila tayari ana mtoto na hajaolewa ,, naish nae jiran na kwangu ndiko amepanga.

Sasa juzi nimejikuta namtongoza nae kakubali ila jana nimefikiria nikaona kama nimefanya kosa..

Nae sasa ndio kawaka moto kila muda anatuma sms za mahaba juu yangu.. Je, ni mle au nimpotezee iwe tu kama niliteleza?

Ushauri tafadhali ni mtoto wa kaka ya shangazi yaan mke wa mjomba
Jf iwe inawafungia wajinga kama nyie. Hamna hadhi kabisa ya kuwa humu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom