Nimfuate au nikomae tu?

Nimfuate au nikomae tu?

Iko hivi, juzi alikuja mpnz wangu kuja kuishi, (tuna mtoto) baada ya kukaa kijijini kwa kipindi fulani nikaomba kwa wazazi wake aje tusaidiane baadhi ya mambo, (nataka kumsapoti kwa issues za kibiashara walau aweze kujipatia kipato, maana hatuijui kesho)

Sasa ameingia jijini kama siku 4 zilizopita, Jana majira ya saa tatu usiku nikapigiwa simu mke wa jamaa yangu kwamba jamaa ana hali mbaya mno, tunaweza kumpoteza kwa jinsi alivyo!

Nikamwambia mgeni wangu hiyo situation na kumuomba anisubiri nitarudi, akagoma "Hamna kwenda" nikajaribu kumuelewesha akagoma, kwa hisia kwamba aliyenipigia simu ni mwanamke hivyo hiyo habari ya rafiki yangu ni uzushi, nikaona isiwe tabu, nikaondoka!

Nimefika kwa jamaa nakuta hajitambui na anatoka povu mdomoni, (sijui alikula kitu gani) maana baada ya kufika hospital ikaonyesha amekula sumu, sijui aina gani huko, wamehangaika naye bahati nzuri akanusurika!

Mpaka majira ya saa kumi asubuhi ndo nimeingia home, nikakuta bibie amelala! Nikajipumzisha kidogo then nikaamka kwenda job.

Nikiwa job bibie akanitumia msg, ukirudi haunikuti, haiwezekani unaniacha ndani unakwenda kulala na mwanamke aliyekupigia simu!

Sikujibu, nimerudi home nakuta mabegi yake hayapo, na yeye anamalizia kumuandaa mtoto aondoke, nimejaribu kuongea naye lakini hajanielewa kabisa akaondoka zake!

Mida hii nimemuandikia kuwa alikuja jijini kwa ajili yangu,wazazi wake wanajua yupo na mimi hivyo namtaka nyumbani haraka, akanijibu kama namtaka nyumbani basi niende nikamfuate! Nikumuuliza yupo wapi ananiambia nimtafute mpaka nimpate...khaaaaaaa!

Nimeshikwa na hasira kweli kweli, nimfuate au nimpotezee tu, kinachoniuma ni kwamba yupo na mtoto mdogo, hivi wanawake wengine mkoje??? Huyu ananisumbua asubuhi hivi, ntawaza habari ya kumuoa kweli? Na hata nikifosi ndoa na mtu wa hivi, hiyo ndoa itadumu kweli???
View attachment 2361829
Na yule uliyemhadaa Kwamba huna Kaz?
 
Ushauri wangu kwenye hii issue

Tufanye ingekuwa wewe mkeo kapigiwa simu kwenye mazingira kama hayo alafu arudi sa10 ungefanya nn?

Majibu utayopata yatakusaidia umfate au umpotezee.
Hahaaa! Yaani ametoka kijijini kafika mjini halafu hata kazi hana, mara kapigiwa simu akatoe msaada ndo arudi saa 10 alfjir!?

Hizi habari za usawa kati ya ke na me ndo zinasababisha matatizo mengi mengi!
 
Achana na washauri wa JF bro. Huku kuna wasiopenda mema. Wewe sikiliza moyo usijudge kwa hii hisia maana saivi yumkini una hasira. Reason...kama unampenda na ana mwelekeo mzuri mtafute...ongeeni afu muishi...la kama humpendi na ulikua unapita basi fresh achana nae
Mkuu naona wewe umetoa ushauri ukiwa nje ya JF. Hongera sana
 
Toa taarifa kwa wazazi wake na usilitafute tena hilo jinga...litarudi tu lenyewe.
 
Yani kuomba ushauri jf bhana, yani unaweza kuhisi wao hawa na changamoto, hivi kweli kuna sababu yamsingi ya kuachana hapo???
Wanawake asilimia kubwa tuko tu hivyo, mwanaume ishini na sisi kwa akili
 
Mi naona we ndio mwenye makosa kwa maelezo yako inaonekana ulishindwa kujali na kudhibiti hisia za mwenzako ukatumia ubabe,kwa Nini usingemwambia tu kwamba Kama huamini Basi twende wote tuongozane ungepungukiwa Nini?ukarudi saa kumi daaa nahisi ulikokuwa hakukuwa halali
Hivi mnafikiri sawasawa kabisa? Muondoke usiku na mtoto kwa sababu mwanamke ana wivu tena sio kuondoka ni mnaenda kutoa msaada kwa mgonjwa na mtoto?
 
Yani kuomba ushauri jf bhana, yani unaweza kuhisi wao hawa na changamoto, hivi kweli kuna sababu yamsingi ya kuachana hapo???
Wanawake asilimia kubwa tuko tu hivyo, mwanaume ishini na sisi kwa akili
Akili sisi tunazo nyie je mnazo? Yan kwa wivu tu ndio uondoke nyumbani? Umeenda wapi na mjini umekuja juzi?
 
Iko hivi, juzi alikuja mpnz wangu kuja kuishi, (tuna mtoto) baada ya kukaa kijijini kwa kipindi fulani nikaomba kwa wazazi wake aje tusaidiane baadhi ya mambo, (nataka kumsapoti kwa issues za kibiashara walau aweze kujipatia kipato, maana hatuijui kesho)

Sasa ameingia jijini kama siku 4 zilizopita, Jana majira ya saa tatu usiku nikapigiwa simu mke wa jamaa yangu kwamba jamaa ana hali mbaya mno, tunaweza kumpoteza kwa jinsi alivyo!

Nikamwambia mgeni wangu hiyo situation na kumuomba anisubiri nitarudi, akagoma "Hamna kwenda" nikajaribu kumuelewesha akagoma, kwa hisia kwamba aliyenipigia simu ni mwanamke hivyo hiyo habari ya rafiki yangu ni uzushi, nikaona isiwe tabu, nikaondoka!

Nimefika kwa jamaa nakuta hajitambui na anatoka povu mdomoni, (sijui alikula kitu gani) maana baada ya kufika hospital ikaonyesha amekula sumu, sijui aina gani huko, wamehangaika naye bahati nzuri akanusurika!

Mpaka majira ya saa kumi asubuhi ndo nimeingia home, nikakuta bibie amelala! Nikajipumzisha kidogo then nikaamka kwenda job.

Nikiwa job bibie akanitumia msg, ukirudi haunikuti, haiwezekani unaniacha ndani unakwenda kulala na mwanamke aliyekupigia simu!

Sikujibu, nimerudi home nakuta mabegi yake hayapo, na yeye anamalizia kumuandaa mtoto aondoke, nimejaribu kuongea naye lakini hajanielewa kabisa akaondoka zake!

Mida hii nimemuandikia kuwa alikuja jijini kwa ajili yangu,wazazi wake wanajua yupo na mimi hivyo namtaka nyumbani haraka, akanijibu kama namtaka nyumbani basi niende nikamfuate! Nikumuuliza yupo wapi ananiambia nimtafute mpaka nimpate...khaaaaaaa!

Nimeshikwa na hasira kweli kweli, nimfuate au nimpotezee tu, kinachoniuma ni kwamba yupo na mtoto mdogo, hivi wanawake wengine mkoje??? Huyu ananisumbua asubuhi hivi, ntawaza habari ya kumuoa kweli? Na hata nikifosi ndoa na mtu wa hivi, hiyo ndoa itadumu kweli???
View attachment 2361829

Ukimfata huyo mwanamke ndo safari yako ya mwisho kuwa na sauti kwenye ndoa yako.

Ningemuacha aende atakapojisikia aombe kurudi. Hapo ningetumia hiyo kama fursa ya kumpiga pini za mipaka ili asije akanichukulia poa.

Usimruhusu mwanamke atumie mtoto kama silaha ya kukuumiza and believe me, they know how to use kids to control men.

Ukweza kukwepa huo mtego na kubaki kwenye reli, utakuwa salama kinyume cha hapo, umekwisha.
 
Wakuu tuacheni kushauri upumbavu emu tuifanye Jf kuwa kama ile Jf ya mwanzo.
.
Wote tunaishi na wanawake hawa hawa lkn ushauri mnaompa jamaa sio kwamba nyie ndio mnafanyaga hivo.
.
Ndoa zina mambo mengi lalkn yapo maswala ya kuacha mke lkn bro hilo ni swala dgo sanaa usije muacha cha msingi ishi nae kwa akili tu na atakuelewa
.
Hao wanaokushauli umuache wenyewe wanachapiwa san wapenzi wao na bado wanakubali kushare afu ww wanakushauli umuache kisa tu kakuonea wivu..
Teh we una akili

Za kuambiwa ongezea na zako!

Kibaya zaidi jf imevamiwa na machoko/mabwabwa kwahiyo mwanaume ukileta ishu ya kugonbana na mkeo, unapokelewa na comments kama hizi negative afu unafatwa Pm
 
Sasa hapo unaumiza kichwa kwa nini hebu endelea na mambo yako, cha msingi wataarifu wazazi wake yaliyojiri ili wajue hayupo kwako halafu mpotezee

Am telling you atarudi tu,ukimzoeza kumnyenyekea atakusumbua

Hata hivyo ni ukosefu wa adabu kuondoka kwako pasipo kusema unapoenda, kama alihisi umemkosea angeenda kwa wazazi au mtu ambae anajulikana na familia sasa hapo hata hujui yuko wapi

Hali ya ugonjwa na dharura kama hizo zinajulikana hakua na sababu ya kukasirika kiasi cha kuondoka nyumbani, alitakiwa akuamini na kukupa support

Mwisho wa siku wewe ni mwanaume and you should act as one
Nyie mnamuamini huyo alienda kwa jamaa yake?...wanaume ni waongo sana humu
 
Mi naona we ndio mwenye makosa kwa maelezo yako inaonekana ulishindwa kujali na kudhibiti hisia za mwenzako ukatumia ubabe,kwa Nini usingemwambia tu kwamba Kama huamini Basi twende wote tuongozane ungepungukiwa Nini?ukarudi saa kumi daaa nahisi ulikokuwa hakukuwa halali
Very true...hakwenda sehemu halali
 
Iko hivi, juzi alikuja mpnz wangu kuja kuishi, (tuna mtoto) baada ya kukaa kijijini kwa kipindi fulani nikaomba kwa wazazi wake aje tusaidiane baadhi ya mambo, (nataka kumsapoti kwa issues za kibiashara walau aweze kujipatia kipato, maana hatuijui kesho)

Sasa ameingia jijini kama siku 4 zilizopita, Jana majira ya saa tatu usiku nikapigiwa simu mke wa jamaa yangu kwamba jamaa ana hali mbaya mno, tunaweza kumpoteza kwa jinsi alivyo!

Nikamwambia mgeni wangu hiyo situation na kumuomba anisubiri nitarudi, akagoma "Hamna kwenda" nikajaribu kumuelewesha akagoma, kwa hisia kwamba aliyenipigia simu ni mwanamke hivyo hiyo habari ya rafiki yangu ni uzushi, nikaona isiwe tabu, nikaondoka!

Nimefika kwa jamaa nakuta hajitambui na anatoka povu mdomoni, (sijui alikula kitu gani) maana baada ya kufika hospital ikaonyesha amekula sumu, sijui aina gani huko, wamehangaika naye bahati nzuri akanusurika!

Mpaka majira ya saa kumi asubuhi ndo nimeingia home, nikakuta bibie amelala! Nikajipumzisha kidogo then nikaamka kwenda job.

Nikiwa job bibie akanitumia msg, ukirudi haunikuti, haiwezekani unaniacha ndani unakwenda kulala na mwanamke aliyekupigia simu!

Sikujibu, nimerudi home nakuta mabegi yake hayapo, na yeye anamalizia kumuandaa mtoto aondoke, nimejaribu kuongea naye lakini hajanielewa kabisa akaondoka zake!

Mida hii nimemuandikia kuwa alikuja jijini kwa ajili yangu,wazazi wake wanajua yupo na mimi hivyo namtaka nyumbani haraka, akanijibu kama namtaka nyumbani basi niende nikamfuate! Nikumuuliza yupo wapi ananiambia nimtafute mpaka nimpate...khaaaaaaa!

Nimeshikwa na hasira kweli kweli, nimfuate au nimpotezee tu, kinachoniuma ni kwamba yupo na mtoto mdogo, hivi wanawake wengine mkoje??? Huyu ananisumbua asubuhi hivi, ntawaza habari ya kumuoa kweli? Na hata nikifosi ndoa na mtu wa hivi, hiyo ndoa itadumu kweli???
View attachment 2361829
shukuru Mungu umejua amemrudia mwanaume wake. Kuzaa mtoto si sababu ya wewe kuvaa kitanzi shingoni. endelea na maisha yako
 
Ukimfata huyo mwanamke ndo safari yako ya mwisho kuwa na sauti kwenye ndoa yako.

Ningemuacha aende atakapojisikia aombe kurudi. Hapo ningetumia hiyo kama fursa ya kumpiga pini za mipaka ili asije akanichukulia poa.

Usimruhusu mwanamke atumie mtoto kama silaha ya kukuumiza and believe me, they know how to use kids to control men.

Ukweza kukwepa huo mtego na kubaki kwenye reli, utakuwa salama kinyume cha hapo, umekwisha.
 
Wape taarifa wazazi wake kuhusu kilichotokea then usimtafute mpaka atakaporudi mwenyewe. Na akirudi mpe misimamo yako kuhusu maisha na usimchekee tena
 
Back
Top Bottom