Nimfuate au nikomae tu?

Nimfuate au nikomae tu?

Naam mkuu hujambo mimi naona temana naye dalili ya mvua ni mawingu before kaa utulie then ufanye quick asessment ukiona kwenye planning zako yupo out of stock cansel then plan well hawa kunguru hawatabiriki ili chuja kwanza
 
Muwe munaangalia wa kuzaa nao.

Sio mnaweka UTAMBI tu.

Haya Sasa pambana na limzigo lako
 
Back
Top Bottom