Hapana mkuu nilifikiri hivyo mwanzo lakini nilimsikia akimbwekea chura
Du...halafu utanipa mlinzi wa nyumbani?Mlete kwetu huyo ni kitoweo kizuri kabisa maana hana kokoro ....
alikua anamuogopa huyo chura sio kwamba anamfukuzaHapana mkuu nilifikiri hivyo mwanzo lakini nilimsikia akimbwekea chura
Sent using Jamii Forums mobile app
atalala wiki nzima hadi udendaMpe kijiti avute.. Then utuletee mrejesho
Kweli mkuu sasa nifanyeje asimwogope tena...awe mbwa mkali mtaanialikua anamuogopa huyo chura sio kwamba anamfukuza
Basi mbwa wako atakuwa ni shoga si unajua mashoga wanavyokaaga kizembe walaini walaini.Hapana mkuu nilifikiri hivyo mwanzo lakini nilimsikia akimbwekea chura
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mbwa wa local ambaye nilimchukua kwa jirani ambaye mbwa wake ni wakali sanani mbwa wa aina gani kwanza?
maana sio kila mbwa anatakiwa kuwa mkali (mlinzi)
wengine ni mapambo au rafiki tu
tafuta mbwa mwengineKweli mkuu sasa nifanyeje asimwogope tena...awe mbwa mkali mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo wa mapamboni mbwa wa aina gani kwanza?
maana sio kila mbwa anatakiwa kuwa mkali (mlinzi)
wengine ni mapambo au rafiki tu
Oops!kambwa ka urembo hako unatakiwa ukapake poda na wanja ukatembee nae
Mmmh nimvutishaje sasa si na mimi nitajikuta nimeuvuta huo moshi...Mpe kijiti avute.. Then utuletee mrejesho