Mkuu..nenda kwa kungwi wake kamweleza juu ya huo utata atakupa somo..!
Rangi ya chupi, chupi ilivyomkaa na kumvua chupi wakati wa kudu pia inaraha yake mkuu, raha ya ndizi kumenya baba.
Hahaha. Oh bruh! What's panties? If it's worth it, I'd go through walls and walls just to get to it, all -day, everyday.
If it's sweet, and not cheap, you gotta sweat, to hit it. No doubt.
Imegeuka kuwa wimbo sijui ni dharau au nini, maranyingi huwa namueleza kuchukizwa kwangu na tabia ya kulala amevaa pichu ila haelewi. Nimfanye nini aache hii tabia ya kipumbavu?
akilala na pichu we lala na jeans
Hiyo si kazi bana!!!unatakiwa uwe romantic bana!!...
Tena umvue kwa mdomo lol
Sio kila siku unaingiza tu lain kweny simu kirahis hvyo! Kumtoa pichu napo ina raha yake banaa, ila usitoe kama mna ugomvi....
hapana, napata shida nikitaka kuchomeka line kwenye simu
Mdomo kazi yake Ni kupitisha chakula Na vinywaji.
sio sababu kwani unapotaka kuchomeka line kwenye simu c lazima utowe mfuniko na betri ndipo uchomeke screpa
Mbona unakua unromantic hvyo! Hahahhahah, walah umenichekeshaa
Dude! Can't cope, scroll past. Not the day, man.We jamaa umeishi Nchi gani? Tanzania hapa.. Bado hatujajua kikoloni
Yaani mi isingekuwa ujeuri wake ningekuwa nakula mzigo kilasiku ya Mungu kasoro siku za period, nasikia ukifanya kilasiku afya inaimarika na siku za kuishi zinaongezeka. Na vipi tukiwa na ugomvi ndo siruhusiwi kula mzigo?