Nimfanye nini mke wangu aache tabia hii?

Point nayo hyo, sasa ad mambo ya chumbn kunako 6*6 jaman aibu tupu! Tunacheka lakin ni kujdhalilisha kwa wakwe, jomba, aunt, wifi, shem, baba, mama n.k jukwaa kubwa sana
 
May be hujui kubembeleza / preparation za mwanzo <romance> unadandia kwa mabav alaf unataka umfanye kila siku kwan ng'ombe huyo?
 
Hiyo si kazi bana!!!unatakiwa uwe romantic bana!!...
Tena umvue kwa mdomo lol

Tehe tehe mdomo au meno... Maana unaweza ukawa na mdomo ila meno hakuna sjui atavua na ulimi
 
Imegeuka kuwa wimbo sijui ni dharau au nini, maranyingi huwa namueleza kuchukizwa kwangu na tabia ya kulala amevaa pichu ila haelewi. Nimfanye nini aache hii tabia ya kipumbavu?
Kwani huwa anakataa kuvua unavyotaka naniino? Wengine hawajazoea kulala uchi.
 
Tena ke unapomvua kyupi huwa na kaaibu fulani amaizing,me nakapendaga sana.
 
I don't think it would kill you to write what people actually understand.
Right. And I don't think it would kill anyone, to ignore what they don't understand.

I say stuffs I say the way I say, cuz those who understand, are the people I really want to talk to, on that particular topic.
 
mazoea hayo..
hajazoea !
nenda nae taratibu na siku za game zikiwa za mara kwa mara..
chupi ataisaliti tu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…