Nimfanye nini huyu mwanamke?

Hawezi kuacha tabia utakuja kujuta mbeleni. Nasema hivi mark my words, umekumbatia bomu hilo.
 
Kama umeweza kukaa naye miaka 2 na ukaweza kuvumilia hizo tabia zake hasi, basi unaweza kuendelea nae. Binadamu wote tuna mapungufu mbalimbali. Angalia na mazuri yake pia. Huwenda ukiweka ulinganisho mazuri yakizidi mapungufu, basi hayo mapungufu unayapotezea.
 
Hapo ni hewa Nakuonea huruma kijana mwenzangu, utajuta
 
Tatizo mkishalewa mbususu akili haifanyi kazi ,pole baharia 😁😁😊😊😊😊😎
 
Piga chini, wanawake wema wamejaa kibao
 
Kujinunisha sio tatizo ni hulka za kike, kuua biashara sio shida coz kuna watu wamesomea mpk business management biashara pia hufa ila apo kwenye uongo uongo ndo shida kwa hili piga chini
 
kama ushajua mapungufu yake basi hakuna hata shida, hayo mambo ya kukosa pesa alafu akajinunusha ni kawaida kwa wanawake walio wengi ndio maana tunasema pesa sabuni ya roho, mi nakushauri endelea kuwa nae tu miaka miwili mpo pamoja ina maana kuna vitu vingi mmepitia sasa ya nini kumuacha?, alafu kingine ni kwamba sisi wanaume ndio tuna asilimia kubwa sana ya kumbadirisha mwanamke, ukishajua mapungufu ya mke wako basi we endelea nae tu
 
Oaàaa
 
Funga ndoa nae ASAP
 
We mfanye hivyo hivyo tu unavoona wewe
 
Tumesikiliza upande mmoja mlete hapa na yeye ajitetee,ndipo tutaamua

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Watu mulivyo na roho mbaya ukae na mwanamke miaka 2 ghetto halafu umuache uchukue mwingine utapata taabu sana
 
Nakushauri kama hujazaa nae piga chini .
Utakuja kunishukuri in future. Ila ukishamuoa majuto ni mjukuu
 
Wewe ndio unaeishi nae na utakaeishi nae.....
Wewe ndio unaejua kama unamuhitaji au haumuhitaji, vile vile unajua kama unaweza kumuacha au hauwezi. Pia unajua hizo tabia unaweza kumvumilia ua hauwezi....

Ushauri ni ule ule ....tafuta hela😁
Dahh tafuta hela.huu msemo unanifariji
 
Mkuu jaza mimba yeye hicho kiburi kinaishaga automatically atakunyenyekea kwa sababu anajua tayari ana mzigo wako.mi mwenyewe mke niliyenae mwanzo alikuwa na mashauzi yeye na familia yake mpaka kaka zake wakanichimba mkwara eti bila mahari ya milioni 4 siwezi muoa dada yao.Ila baada ya kumjaza nililetewa goma geto free bila kutoa hata senti 5,nimewaambia mahari nitalipa taratibu

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
MUOE HUYO MWANAMKE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…