Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,125
- Thread starter
-
- #41
Sawa mkuu ila lengo lilikuwa jema tu ila nimekuelewaThen kasome tena nilichokushauri. Huyo binti unampa majukumu ambayo yeye anaona hayamuhusu. Amejiandaa kuwa mke wa mtu sio mpambanaji mwenzako wa maisha.
Nazan nimetaja Mkuu kuwa mcheshi mchapakazi nkHebu tutajie vitu vitatu vizuri alivyo navyo mwenza wako hadi ukaakaa naye miaka miwili na kuikiria kuwa mkeo? Vitatu tuanzie hapo kwanza
Huu ndio ukweli Mchungu ambao wanaume inabidi Tuumeze...!! UNAUMA ILA NDIO HIVYO.Then kasome tena nilichokushauri. Huyo binti unampa majukumu ambayo yeye anaona hayamuhusu. Amejiandaa kuwa mke wa mtu sio mpambanaji mwenzako wa maisha.
Mkuu nashukuru kwa comment yako na kwa ushauri wakoHata wanawake walioolewa asilimia 99 wako kama wako Kujinunisha kisa huna hela ni nature ya mwanamke ila shida kunywa utamuu mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mtaji ukimpa alifilisika sababu hajui kufanya biashara wengi huanguka na kuanza upyaa yani unajifunza huku unafanya labda kama unajua hela alitumia kwa mambo ya ovyooo..
Pamoja mkuu wanawakw ndivyo walivyo huwezi pata wakukuchekea ukifulia...!! Ninaeishi nae amejitahidi japo nae huwa anashindwa yani visa kama hela hakuna utafurahi mbona..[emoji3][emoji3][emoji3] Ngoja hela ijee nyie nyiee mapenzi yake.mkuu nashukuru kwa comment yako na kwa ushauri wako
Mungu azidi kuwapa afya njema wana jf wote
Najua wote humu hamjambo maana huwezi ingia humu huku unaumwa
Twende kwenye mada
Wakuu nimepata mke ambaye natarajia kumuweka ndani ila sasa
Kabla ya kufika huko kwenye kuwekana ndani
Nilimpima kwanza je atafaa kweli kifupi huyu binti nipo naye kwenye uchumba karibia miaka 2 navyosema uchumba yaan yupo gheto siwez ita mke mana hutajafunga ndoa
Kasoro ya huyu mwanamke kwanza sio mkweli anaweza kukudanganya hata kwa jambo
Ambalo unaliona hili halipo hivi
Sasa sijajua huwa anamaanisha nini?
Licha ya kumuonya mara kadhaa ila hurudia hivyohvy
Na akiona huna pesa hujinunisha hata wikii nzima na unyumba ulambi najua baadhi ya wadau mtasema tafuta pesa
Ipo hivi pesa hata uitafute vp ila kuna muda mambo hubuma maana kuna kuumwa nk...
Kwa kuliona hilo nikajipigapiga nikamfungulia shop ya nguo ilikuwa vizuri ila mwishon akafanya anachojua yy akajifilisi maana mwenendo aliokuwa nao ilikuwa lazima ajifilisi
Na ilikuwa ukimuonya anasema mnatunyanyasa wanawake Na atanilipa hela yangu mimi huwa sina maneno hua namwangalia tu sasa wakuu
Je kwa tabia hizi je niingie mazima au nifanyeje
Kuna wadau baadhi utawasikia umeshindwa kuamua hadi kwenye hili?
Nasema hivi ndio nimeshindwa naombeni ushauri wenu
Pole kaka, huyo mtashindwana mtu anayejinunisha hovyo sio wa kufaaa.Najua wote humu hamjambo maana huwezi ingia humu huku unaumwa
Twende kwenye mada
Wakuu nimepata mke ambaye natarajia kumuweka ndani ila sasa
Kabla ya kufika huko kwenye kuwekana ndani
Nilimpima kwanza je atafaa kweli kifupi huyu binti nipo naye kwenye uchumba karibia miaka 2 navyosema uchumba yaan yupo gheto siwez ita mke mana hutajafunga ndoa
Kasoro ya huyu mwanamke kwanza sio mkweli anaweza kukudanganya hata kwa jambo
Ambalo unaliona hili halipo hivi
Sasa sijajua huwa anamaanisha nini?
Licha ya kumuonya mara kadhaa ila hurudia hivyohvy
Na akiona huna pesa hujinunisha hata wikii nzima na unyumba ulambi najua baadhi ya wadau mtasema tafuta pesa
Ipo hivi pesa hata uitafute vp ila kuna muda mambo hubuma maana kuna kuumwa nk...
Kwa kuliona hilo nikajipigapiga nikamfungulia shop ya nguo ilikuwa vizuri ila mwishon akafanya anachojua yy akajifilisi maana mwenendo aliokuwa nao ilikuwa lazima ajifilisi
Na ilikuwa ukimuonya anasema mnatunyanyasa wanawake Na atanilipa hela yangu mimi huwa sina maneno hua namwangalia tu sasa wakuu
Je kwa tabia hizi je niingie mazima au nifanyeje
Kuna wadau baadhi utawasikia umeshindwa kuamua hadi kwenye hili?
Nasema hivi ndio nimeshindwa naombeni ushauri wenu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Naona mnacheza red light green light, mwisho wa game Kuna mmoja atalizwa
[emoji3][emoji3]Ilishasema ukiwa huna hela atakununia au kunyimwa unyumba ,ipo siku huna hela atachekewa mwenye hela na kuliwa uroda