nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,685
Ukitaka akuache mpe anachokitaka....
Mhhhhh mkwe.. vibaya ivo, kwani unajua hilo jibaba linataka nini? kama ni roho yake je?
Anyway.... young girl, ukiruhusu tamaa zako za kujaliwa na MUME WA MTU zitawale ubongoni mwako, itabidi nikwambie "rest in peace" (sina hakika kama utanielewa.)