Nimfanyaje huyu baba?

Nimfanyaje huyu baba?

Lakini hata wewe unampenda kwa nini ukubali lunch pamoja na offer anazokupa? Kwani huwa anakulazimisha muende lunch? Je anakulazimisha kupokea hela anazokupa? Nafikiri mnapendan

Hakuna upendo hata kidg
 
Yaan we muda wote ni kuwaza kupigwa mkia tu, huna mawazo mengine kabisa kichwani kwako.
 
We mpe tu, kitu chenyewe kimeshazoea hadi wakurya unadhani kiko salama?
 
wewe ushakula vya watu unataka tukueleze nini?

Mpe tunda hilo alitafune fastaaa,..
 
Mpe angalau mara moja 2 atakujali zaidi ya hapo, acha roho mbaya bibiye
 
Back
Top Bottom