Nimfanyaje huyu baba?

Nimfanyaje huyu baba?

kula vitu vyake ule alafu utuombe ushauri sis,majanga hayo na dudu litakupitia tuu
 
Inawezekana ananipenda cz ni tofauti na wanaume wengne haiwezkan mtu miez zaidi ya 4 unaangaikia kitu na hakuna dalili za kukipt then he dont gv up ywezkn kuna upnd pia

zaid ya miez 4 mbona midogo sana Watu mwaka wanafatilia K...
 
Mambo wakuu
Leo nmekuja kiutu uzima coz wanasema mie cjui utoto vikapanda vikashuka

Ni hivi?kuna baba mmoja huu ni kama mwezi wa nne sasa kiukweli anaonesha ananijali sana,na kwa vitendo na maneno yake inaonesha ananipenda kutoka moyoni kwani amenifanyia mambo (siyo yule niliyewahi kumzungumzia apa kipnd cha nyuma )

Mengi tu mazuri na hajawahi hata kuniambia maswala cjui ya kuonan wapi wapi huwa ananiomba antoe lunch kama sna nafasi nkimwambia anaelewa kifupi hana haraka na mimi anadai ana malengo na mm ila sijawah muuliza n malngo gani nafaham ana mke ila familia ipo nchi ya jirani yy huku yupo kikazi Tu.

Huwa ni mteja wa ofisini kwangu basi akija akikuta naongea na mwanaume au namfanyia kazi mwanaume badae atapiga simu ooh roho inaniuma sana coz I love u!

Basi me namshangaa coz cjajicomit kwake hata kidg lakn namshangaa
Sometmz nafikiria nimfanyaje huyu baba kiukweli mimi simpendi na nilishamwambia lakn the way anavyojitoa kwangu smtmz nawaza how can I du aniepuke.

Nishaurin nifanyaje wapnda
NBA sy lazma uchangie kama huna la maana na siyo lazma pia usome kama nakuboa okay??

fanya ivi,chukua pete ya uchumba vaa then muonyeshe mwambie ushachumbiwa tayari,asipoelewa njoo na uyo baasha ako afu mtambulishe,apo ataelwa tu.
 
fanya ivi,chukua pete ya uchumba vaa then muonyeshe mwambie ushachumbiwa tayari,asipoelewa njoo na uyo baasha ako afu mtambulishe,apo ataelwa tu.

Hahaha nilishanunua na hiyo pete naw dayz naivaa cozd ya yeye lkn hata hashangai
 
"the way anavyojitoa kwako" anajitoaje............

Heaven on Earth jmn usiniangushe ina maana kusoma hujui na pcha huoni
Aya m nilvyoelewa uyu baba itakua anampga tafu endapo amekwama mahala anahtaj msaada bas bonge la bwana anajitoa kutatua tatizo
 
ukila vya watu lazima ulipe.
hakuna bure, na siku zote bure ni ghali.
 
Mambo wakuu
Leo nmekuja kiutu uzima coz wanasema mie cjui utoto vikapanda vikashuka

Ni hivi?kuna baba mmoja huu ni kama mwezi wa nne sasa kiukweli anaonesha ananijali sana,na kwa vitendo na maneno yake inaonesha ananipenda kutoka moyoni kwani amenifanyia mambo (siyo yule niliyewahi kumzungumzia apa kipnd cha nyuma )

Mengi tu mazuri na hajawahi hata kuniambia maswala cjui ya kuonan wapi wapi huwa ananiomba antoe lunch kama sna nafasi nkimwambia anaelewa kifupi hana haraka na mimi anadai ana malengo na mm ila sijawah muuliza n malngo gani nafaham ana mke ila familia ipo nchi ya jirani yy huku yupo kikazi Tu.

Huwa ni mteja wa ofisini kwangu basi akija akikuta naongea na mwanaume au namfanyia kazi mwanaume badae atapiga simu ooh roho inaniuma sana coz I love u!

Basi me namshangaa coz cjajicomit kwake hata kidg lakn namshangaa
Sometmz nafikiria nimfanyaje huyu baba kiukweli mimi simpendi na nilishamwambia lakn the way anavyojitoa kwangu smtmz nawaza how can I du aniepuke.

Nishaurin nifanyaje wapnda
NBA sy lazma uchangie kama huna la maana na siyo lazma pia usome kama nakuboa okay??

Embu vunja ukimya wewe kwanza kuwa wa kwanza kutatua hilo swala..HOW??Muite siku umulze ana malengo yapi na wewe ayo anayoyasema..then kwenye hayo malengo utakayo ambiwa ndo upembue mchele ni upi na chuya ni zipi
 
Nawaza sana mwisho wa haya mambo utakuwa lini lakn simpi chchte nimeshaapa

safii best aishie kuona hvyo hvyo ..khaa anataka kukufanya mchepuko wake uyo.Embu akupshe mara 10000
But as i told you before vunja ukmya umuulize labda anataka kukufungulia ofisi yako bnafsi na ww utuajiri! au anataka kukupa scholarship ukajiendeleze kitaaluma..Kama ana kher sawa ila mwambie asiwe na guarantee km atapata ♡
 
Lakini hata wewe unampenda kwa nini ukubali lunch pamoja na offer anazokupa? Kwani huwa anakulazimisha muende lunch? Je anakulazimisha kupokea hela anazokupa? Nafikiri mnapendana ila bado hamjaambiana mnapendana kivipi
 
hiki nawasifu wanawake mnatuhurumia sana mtu akilia lia tu unaona anakupenda sasa mpe papuchi uone hapo ofisini humuoni utakuwa unampigia badala ya kukupigia

hayo ndio maisha yetu

Uwa ni w.a.s.h.e.n.z.i sana nyie
 
Heaven on Earth jmn usiniangushe ina maana kusoma hujui na pcha huoni
Aya m nilvyoelewa uyu baba itakua anampga tafu endapo amekwama mahala anahtaj msaada bas bonge la bwana anajitoa kutatua tatizo

mi nilikuwa sijui kwa kweli...
 
kama anakupa vitu usithubutu kukataa si unajua kutoa ni moyo? hahahaaaaa ila wew usithubutu kutoa vyako utaliwa ubaki unajutia

One pronciple ma dear ukiona unakula.jiandae kuliwa pia in kind or cash
 
Back
Top Bottom