Nimezimiwa simu

Coco Bella una story wewe?
Kama tu last time tumepiga story weeee,ukanambia tutaonana MICASA LOUNGE,nimekuja MiCASA nikashangaa upo na tuvulana unapiga zako moja moto moja baridi!

Hahahaaaaa,sijui unaikumbuka hii?
 
Wahenga walisema BURE GHALI.

Kama nilivyokuja na uzi wangu wa kuomba wenyeji kwenye baadhi ya mikoa, nashukuru nimetoka Mtwara ahsante kwa mwenyeji wangu kwa ukarimu wako, juzi wakati nipo Mtwara nikapata mwenyeji wa Dodoma lakini mwenyeji huyu maongezi yake ilikuwa anataka tu nimletee vitu kama Nguo sijui viatu halafu anataja vitu vya bei, nikamjibu mbona hata Dodoma vipo?

Yeye akajua fika mimi nitabeba hivyo vitu leo nimepanda gari kuelekea Dodoma tumewasiliana vizuri nimefika njia panda ya Gairo ananiuliza umenibebea vitu nikamwambia sijabeba, jamani kanitolea maneno ya shombo na kuniambia utajijua mwenyewe tafuta mwenyeji mwingine. Nimejaribu kumpigia simu hapokei na kwa sasa ameizima kabisa!!! Labda nikuambie ulichofanya ni utoto mkubwa Kama ulitaka wa kumchuna kwangu umenoa Dodoma ndogo sana hii siwezi kupotea.
 
Coco Bella una story wewe?
Kama tu last time tumepiga story weeee,ukanambia tutaonana MICASA LOUNGE,nimekuja MiCASA nikashangaa upo na tuvulana unapiga zako moja moto moja baridi!

Hahahaaaaa,sijui unaikumbuka hii?

Heeeee tuvulana tena kuwa na adabu wewe, kwani na Wewe ulikuaje si ulikuwa kivulana tu afadhali ya yule
 
Kwa haraka haraka zima na yakwako. Akikublock nawe m'block. Asijione keki. Sijui umenisikia au niongeze sauti
 
Back
Top Bottom