Nimezikatilia mbali na safari imekufa


Sasa zigo la shanga wapi tena? haki ya nani, mimi wangu hata kuvaa moja atoka nayo hapatakuwa na maongezi mwaka
 
Dah, umemuwahi sana, usingempiga kwanza, ungemnyatia mpaka anapoenda kuingia halafu huko sasa ndio umtie kisu cha koromeo kabisa.. Shenz zake.

Nami nawaza angefanya hivyo kwanza afuatilie nyendo zake anakokwenda na ni nani anayemvalia hizo shanga then ajue sababu ya kumvalia yeye moja na mwenzie nyingi baada ya hapo ndio apime hiyo ndoa inaweza kuendelea au ifike mwisho. Kumpiga maumivu yanapona lakini tamaa na utafutaji wa achokifuata huko mabepwande havimuishi. Inaumiza kweli ila sasa busara na sio hasira zitaleta mwisho mzuri
 
Si UOTE="madala mujipa, post: 22066713, member: 417912"]Binaadamu ameumbwa na kutokutosheka mkuu[/QUOTE]
Si kila kitu anapata. Tamaa ya nn
 
Angekua mvulana, angekuja kuomba ushauri mke wangu anavaa shanga wakati anatoka, nifanyaje.!!!![emoji23] [emoji23] [emoji125]
 
Hizo shanga kuna mtu anavaliwa,haiwezekani akiwa ndani avae moja akitaka kutoka avae rundo.
Vizuri sana,tena mkanye kuvaavaa shanga ovyo,na ujaribu kumdadisi nyendo zake isikute kuna mtu anapakua taratibu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wachaweeeee!!!
 


Saafi sana, well said, ushauri mzuriiii.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…