Nimezama kwenye penzi la mjeda, sioni sisikii

Hongera sana na muoane sasa tujue true colors zenu, maana baadhi ni good pretenders kwenye urafiki na uchumba ila wakiingia ndoani yanawashinda.
 
Umepotea sana, jiandae, kaswende, kisonono, ukimwi, gonolea na magonjwa mengine ya zinaaa, 👈👈👈👈👈zingatia sana hayo maneno, ni swala la mda tu
 
Habari wanajamvi,

Acha niongee maana penzi limenikaba koo sifurukuti. Natamani kuhadithia raha nazopata jamani, sikuwahi dhani kuna mapenzi matamu hivi hasa kutokana na kutendwa huko nyuma jamani.

Kwa kweli shikamoo mjeda laaaaa, ananipa kile mwanamke anatakiwa kupewa!! Ananijali ananitunza utadhani malaika uwii mwanzo nilijua huenda ananiigizia kumbe ndivyo alivyo yapata mwaka sasa ila ndio penzi linazidi kuwa tamu tu jamani.

Yaani kakamilika kila idara anajua nataka nini kabla sijasema kafanya hakika duniani bado kuna wanaume, tukiwa ndani ndio ibaki kuwa siri yangu maana uwiii.

Nami najitahidi kumpa heshima, uaminifu wa kiwango cha SGR na nidhamu kama zote na sukari nampatia la hela yote yaani sitaki chezea bahati.

Mapenzi matamu nyie acha tu labda kama hujapewa.

Nalog off

Mpende mheshimu na mtunze atazidi kukupenda, ila usisikilize maneno ya watu, watakuharabia sana .

Hiyo ni bahati yako ishikirie kwa nguvu zote.
Wanaume kama hao ni wachache
 
Kina watu wanajua kuombea wenzao mabaya, na kuwakatisha tamaa , hata kuwaharibia , sasa wewe usiangalie hayo wala hao wewe linda mahusiano yako , na achana na uanaharakati , kuwa mwelevu na mwaminifu kwa hata jambo dogo hapo jamaa utakuwa umemmaliza kabisa.

Alafu punguza mdomo.
 
Nimekula wake saba wa wajeda.

Saizi ninademu mchepuko wangu, ni mke wa mjeda

Aiseee huyi dada anajua mahaba khaaaa sijapata ona

Yaaan ananipa wivuuu siku hizi, najikuta nakuwa na wivuuu sanaaaaaa akiniambia mjeda wake kajaa

Juzi nmemlia nyumban kwa mjeda.. Usikuu mpaka

Mishale ya saa 11 alfajiri nikawasha tukutuku langu nikasepakama mpepo
Alafu jiulize upande wa pili wa sentensi yako, sisi tukija huko uraiani yanafanyika mengi sema safi tu.
 
Habari wanajamvi,

Acha niongee maana penzi limenikaba koo sifurukuti. Natamani kuhadithia raha nazopata jamani, sikuwahi dhani kuna mapenzi matamu hivi hasa kutokana na kutendwa huko nyuma jamani.

Kwa kweli shikamoo mjeda laaaaa, ananipa kile mwanamke anatakiwa kupewa!! Ananijali ananitunza utadhani malaika uwii mwanzo nilijua huenda ananiigizia kumbe ndivyo alivyo yapata mwaka sasa ila ndio penzi linazidi kuwa tamu tu jamani.

Yaani kakamilika kila idara anajua nataka nini kabla sijasema kafanya hakika duniani bado kuna wanaume, tukiwa ndani ndio ibaki kuwa siri yangu maana uwiii.

Nami najitahidi kumpa heshima, uaminifu wa kiwango cha SGR na nidhamu kama zote na sukari nampatia la hela yote yaani sitaki chezea bahati.

Mapenzi matamu nyie acha tu labda kama hujapewa.

Nalog off

Jitulize.
 
Kula Maraha ya kupaishwa
1622953771741.jpeg

Ewaaaa hapo baby hafanyi utani ananipeleka mpaka naomba poo,

Changanya na mazoezi yake nabinuliwa kama mtoto uuu ananipa mpaka nahisi nipo peponi.

Ukomando wake hadi kitandani
 
Back
Top Bottom