Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,573
- 9,782
Kwahiyo?Duuh mie sina jibu aiseeh, japo kuna sauti imeniambia kama ulimaanisha umechoka na hizi taarifa na bibi kigagula hana dalili ya kuacha kumpaisha Dadii wake humu, bora umuweke kwenye ignored list yako tuu.
Itakusaidia kupunguza kuchoka na nguvu hizo ukazitumia kwenye nyuzi nyingine.
NB: Hiyo sauti hata sijaisikiliza nimeandika tuu ilivyokiwa inasema, mie niko kimya tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app