Mubashara..... From the Bottom of My Heart ❤️....

Mubashara..... From the Bottom of My Heart ❤️....

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,805
Reaction score
43,230
Wapendwa msichoke kusikiliza simulizi za Mahaba ya Kasie na Dadii wake.

Hii habari imetokea hivi punde, kama mjuavyo niko kibaruani huku madongo kuinama aka “zindonga ze ziwelalee”....

Sasa baada ya kumaliza majukumu yangu ya leo kabla sijalala huwa nachukua kijitabu cha kitandani na kuweka alama ya vema kwa mambo yote niliyojipangia kuyafanya siku ya leo. Namalizia kutiki mstari wa mwisho niliandika Dadii......🥰

Basi nikashika kilongalonga changu ili niwe mubashara na Dadii, bila ajizi simu ikapokelewa ila hakukuwa na sauti inayoitika upande wake...

Nikaita majina yote mwisho nikasema huyu hii simu imejipokea na yeye hajui? Mmh huku nasikia sauti za kama karatasi za kitabu zinafunguliwa. Nikasema hata sikati simu hadi aistukie mwenyewee.

Nikaanza kuongea nasimulia vitu mbalimbali tuu, bila kujua kama ananisikiliza au laah. Mara naongea kinyamwezi mara kimatumbi mara nikaanza kuongea siku moja tulikuwa wote Bagamoyo Saadani jinsi alivyonikumbatia kwanguvu kwa ghafla (suprise) yaani nilikuwa naongea habari hoja mchanganyiko zetu na sweet nothing words.

Ghafla mitambo ya kaburu ikasumbua simu ikakatika, nikapiga tena ndo akapokea akaniambia, Kasie..... nimekusikiliza kuanzia kati maana nilikuta unaongea sikujua kuwa simu imejipokea ..... nikamwambia (....... weeh) in a joking voice.
Akaniambia nirudie kuongea ambavyo hajavisikia, nikamwambia hilo tuu sema na jingine baba, zaidi ya kurudia na uzi naenda ubandika kule, yaani hapa JF.
Kisha nikamwambia ndo najiandaa kulala na kabla ya hapo nimekupigia simu nikwambie nakupenda..... I LO U Dadiii.....

Hapo hapo ukanijia huu wimbo...... Nikamuimbia huo ubeti unaojirudia aka korasi ..... Heheheheheheh Mahaba bana, sijui yapojee....




Much Love 💕 to you Dadii ( my sweet nothing love)....

Mmuah 💋

K’ Mahaba.
 
Hii si chai kweli? Mtaje au weka picha yake tumjue. Siri siri ya nini.
 
Hii si chai kweli? Mtaje au weka picha yake tumjue. Siri siri ya nini.

Hilo tuu umepata kaka.....

Dadiiiii njoo huku wanataka kukuona, wamechoka vile uko sirini siku zote.....
Dadii

Ila babu Asprin Watu8 na naniliu wakikasirika shauri yako mii siiimooooo

K’ Matata.
 
Heey swimming mentor mamboo, nimekuona. Najua nilikuahidi uzi ntaushusha tuu, shurti tuu kwenye huo uzi uwe invisible au uje na ID yako nyingine.

Laah unatafuta dhahama na ........

See you at the pool 🏊‍♀️
 
aiseee mkuu vip vitafunio tunajitegemea au tusubiri hapa hapa???
 
I wish mtu angenipendaga kama ivo aise[emoji26][emoji26]


Anza kwa kujipenda mwenyewe kwanza, pili anza kupenda watu in a way what they call natural love ....

You’ll automatically found that people who are interested in love will be attracted to you.

All the best.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom