Nimezama kwa Mapenzi ya Dadii...

Nimezama kwa Mapenzi ya Dadii...

Umejuajeeee.....??

Yaaanii, mbilinga mbilinga zote za ujana zimeisha tumebaki tunalishana bakulutu tuu yaani swallowing cherries and gellys....

Yaani ni raha ndani ya rohoo, tabasamu naona limenifika kwenye masikio aahahahahahahaaa

Acha nifurahi bibi mie, kufa kunoga utamu mnooo.
Enjoy Bibi lao.Life is too short,kujibana bana mara koona inakunyanyua.
 
Enjoy Bibi lao.Life is too short,kujibana bana mara koona inakunyanyua.

Thank you Fabby, nashukuru Mungu sikuumbwa na hulka ya kujibana bana au kujizuia hisia...

Good day to you.
 
Mwenye kuelewa anieleweshe uyo dadii ni baba huyu wakumzaaa ama ni wale masugar dad?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni Da di i yaani Dadii.... aahahahahahaaa

Acha fujo banaa, Baba ni baba na inaandikwa baba, sugar dady ni sugar dady na inaanndikwa sugar dady.

Huyu wangu ni Dadii na inaandikwa Dadii na inatamkwa Dadii.
 
Aahahahahaa visa vya Bi. Kasie havina udhia wala kadhia ni Mahabat tuu yasiyo na madhara kwenye maungo eehehehee

Salamu zimemfikia, nawe nifikishie zangu huko ulikooo.

Kibusu flani hivi cha uchokozi kikufikie halafu ukifumbua jicho wakonyezwa ahahahahaaa

Kwaheeriiii.😉
Aaaaaawwwww Kasie maungo yangu mieeee....eheheheheeeeee

"Kibusu" chako kwangu kimesababisha mwili ku - vibrate ahahaaaa

Kufumbua kijicho umenisababishia maeneo eneo kuvimba
 
Aaaaaawwwww Kasie maungo yangu mieeee....eheheheheeeeee

"Kibusu" chako kwangu kimesababisha mwili ku - vibrate ahahaaaa

Kufumbua kijicho umenisababishia maeneo eneo kuvimba

Aahahahahhahahaa poleee.

Natumai sasa umepoa...

Alamsiki
 
Kuna muda Kiki inakua active na mapenzi unajua ni muda gani over 50 yrs these time wanaume wengi wanakuaga free waliishatafuta pesa na watoto wamemaliza vyuo au wapo makaak huko na familia zao hapo wanaume wana anza tena kuwaza mapenzi Ndio maana wasichana wengi wanakuaga huko! Vijana wengi 30-40-45 wengi wanapambana kuweka mambo sawa na kulea watoto kusomesha sio rahisi kuwaza waza wanawake mara nyingi tunaweza pale dushe linahitaji tulizo. Nakuelewa sana unapomuwaza huyo dadii wako uliemkabidhi chemba zote nne!! Akili yake inahitaji watu kama wewe!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo bas na kwangu unibariki aise napenda wamama sana

Sent using Gun Trigger
 
Kuna muda Kiki inakua active na mapenzi unajua ni muda gani over 50 yrs these time wanaume wengi wanakuaga free waliishatafuta pesa na watoto wamemaliza vyuo au wapo makaak huko na familia zao hapo wanaume wana anza tena kuwaza mapenzi Ndio maana wasichana wengi wanakuaga huko! Vijana wengi 30-40-45 wengi wanapambana kuweka mambo sawa na kulea watoto kusomesha sio rahisi kuwaza waza wanawake mara nyingi tunaweza pale dushe linahitaji tulizo. Nakuelewa sana unapomuwaza huyo dadii wako uliemkabidhi chemba zote nne!! Akili yake inahitaji watu kama wewe!!


Sent using Jamii Forums mobile app


Umedadavua vyema kabisa, hakuna swali la nyongeza.

Happy long weekend if at all you are in the eastern part of Africa.
 
Kila siku unatueleza sasa tufanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app

Duuh mie sina jibu aiseeh, japo kuna sauti imeniambia kama ulimaanisha umechoka na hizi taarifa na bibi kigagula hana dalili ya kuacha kumpaisha Dadii wake humu, bora umuweke kwenye ignored list yako tuu.

Itakusaidia kupunguza kuchoka na nguvu hizo ukazitumia kwenye nyuzi nyingine.

NB: Hiyo sauti hata sijaisikiliza nimeandika tuu ilivyokiwa inasema, mie niko kimya tuu.
 
Kasie unajua umemfanya dingii atutelekeze nyumbani.Ni siku ya arobaini yuko kikazi hatumi hela kumbe wewe ndo unamchuna.tuonee huruma

Sent using Jamii Forums mobile app

Khaaa... hii ni zaidi ya jinai...

Acha nirekebishe hivi...

Sababu kila nnachomwambia anafanya, ntamwambia naomba unipeleke shopping kisha nanunua mazagazaga kibao ya nyumbani halafu namuomba na hela pembeni. Kisha Hizo hela na mazagazaga yote navifunga kwenye parcel a dress to mama Sin Card.
Baada ya hapo kama ataendelea kutotoa matunzo basi ntaweka standing order ya vitu cya kutumwa kila mwezi na hela cash, maana mzee wako hela anayo sema ili itoke anataka kusikia sauti ya 18....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom