Kyokola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 1,402
- 1,889
Aisee inauma sana. Mi ishanitokea hii nikamkataa mdada nilozaa nae. Yaani maisha yangu yamekua kama username yangu. Mi nachokushauri we bora uishi nae tu. Mpaka leo hii naamini radhi si lazima itolewe na mzazi tu. Hata tunaowatenda mabaya dua zao zapokelewa haraka Mno.
You said it all. Jambo lolote ulitendalo liwe jema ama baya kumbuka kuwa hiyo ni mbegu unapanda na itaota siku moja.Ukipanda mema utalipwa mema na ukipanda mabaya yatakurudia hayohayo. Kajisemea Lara1 karma is a slut.