Nimezaa na nisiyempenda

Nimezaa na nisiyempenda

Kumwangalia kama ndiyo one and only kakuzalia kidume cha mbegu kama wewe yani hapo unaweza mpenda

Afu wanakuwaga magenious hawa watoto wa bahati mbaya loh alee tu mtoto suala la kumpenda huyo mama asilazimishe .
Ni hatari kwa afya yake
 
Watu wegine ni kama maputo**

badala ya kupost mambo ya kujenga unapost maswala ya kitoto**

unatuliza swali kama hili au na sisi unafikiri ni watoto**

sisi ni watu wenye hakiri zetu na wala siyo maputo**

nigekuwa karibu na wewe lazima ugekipata cha moto**

nakuambia ukweli lazima nigekutomboa wewe puto**

unamuzalisho mtoto wa watu, na ukamuona kama fito**

kama ulikuwa haumpendi kwanini ukamzalisha mtoto**?

kwa nini? hukumwambia mapema ili asipatwe na moto**

nina mashaka na elimu yako, au umesoma shule za kitoto**

ni mimi Daud kipara rahisi watoto**
 
mi haiingia akilin bado, we mwanaume ulazmshwe ku-do kweli jaman? ina mana alikubaka? anyway bro pole mtot co sabab ya kuoa kam vp lea toto lako na achana nae taft unaempenda
 
Unajua mimi nilimkatalia kwenda dry lakini yeye ndio ali insist sana na akadai kwamba yuko makini.
Umakini wake ndo huo sasa... HIVI KWA MFANO ANGEINSIST UKATE KICHWA UNGEKATA..??
 
Wakati unamla Mpunyenye mtoto wa watu ulikuwa umelewa?
 
na inaelekea we hauna maumiz wala msimamo, jtahd kujijengea msimamo itakusaidia hata kwa uyo utakayempenda
 
He is my son n I do love him.lakin amezaliwa kwa mama siye!
Kama Mama Siye iweje wewe uwe Baba ndiye!

Tangu lini nyani akawa na mwenza tofauti na nyani mwenzake?
 
ni ulimbukeni mtu mwenye akilii timamu kusema NMEKUWA NA MAHUSIANO NA MTU NISIYEMPENDA! je huyo ni changudoa kwamba ulifanya naye biashara? kama kweli hukumpenda ulivyomvua nguo(ashakum si matusi) ISINGESIMAMA wewe tamaa zimekutawala ubinafsi. kutojielewa ndo maana ukiwa na mpenzi ukiona wengine upendo unafutika gafla. nakuambia wewe pumbavuuu utayekuja kumuoa utampenda lakin atakuwa hakupendiiii na utagundua kwenye ndoa utakula ulipopeleka mboga
 
Ok.vipi huwezi kufanya mapenzi na mwanamke anaye mtamani? Imagine mwanamke ana muonekano sawa kabisa na Lara1 kwa maana ya figure,rangi ya ngozi na sura nzuri hata kama si kama ya Lar1 lakin cute face.vipi mwanamke wa namna hiyo huwezi kufanya naye tendo?

Kwani kazi ya Condom ni nini?
 
Kama humpendi ilikuwaje ukamgengeda tena pekupeku? Tuondolee ujuha wako hapa
 
Ngoja nikupe ushauri via Tyta ways!
 

Attachments

  • ndoa.jpg
    ndoa.jpg
    54.9 KB · Views: 164
Last edited by a moderator:
Afu wanakuwaga magenious hawa watoto wa bahati mbaya loh alee tu mtoto suala la kumpenda huyo mama asilazimishe .
Ni hatari kwa afya yake

mmh,wewe hii research yako Munkari umefanyia chuo gani with regard to u-genious wa hao watoto?
 
Last edited by a moderator:
Aisee inauma sana. Mi ishanitokea hii nikamkataa mdada nilozaa nae. Yaani maisha yangu yamekua kama username yangu. Mi nachokushauri we bora uishi nae tu. Mpaka leo hii naamini radhi si lazima itolewe na mzazi tu. Hata tunaowatenda mabaya dua zao zapokelewa haraka Mno.
 
Simple...mwambie tu ukweli..afu mfanye kama mzazi mwenzio...kaoe umpendaye...kuzaa si kigezo cha kuoa
 
Ukome ndo mambo ya ku hit and run lea mtoto hyo tena ndo copy yako huna cha kupinga.Maji yashamwagika hayaokoteki cha msingi tafuta hela ulee mtoto afu tafuta mwanamke unayempenda
 
Wana jf naombeni ushauri wenu najihisi kama nimepoteza.Mimi ni kijana wa miaka 27 nimetokea kuzaa na msichana nisiyempenda..sasa sijui nifanyeje ili niweze kumpenda maana hayupo moyon kabisa.


Nakupa pole kwa msala ulioupata. Nakushauri kama una uhakika kuwa kweli humpendi huyo mwanamke mwache, utakuja kumtesa bure mtoto wa watu. Ila usije ukaja ukamsumbua hapo baadae maana baadhi ya nyie wanaume hamueleweki. Ntakupa kisa kilichonipata mimi katika maisha yangu.

Nilizaa mtoto na mwanamume niliyekuwa kwenye mahusiano nae kwa muda wa miaka sita. Kiukweli ile mimba ilikua ni bahati mbaya sikupanga kuzaa, nilipomwleza mwenzangu alikuja juu na akataka mimba itolewe na akadai kuwa hanipendi.Sikuwa tayari kuua kiumbe kisichokua na hatia, nililea mimba yangu kwa masimango na mateso makali toka kwake, baada ya kujifungua aliondoka akaniacha nikiwa na mtoto wa wiki tatu tangu azaliwe. Niliumia sana moyoni lakini nikajipa moyo nikalea mwanangu. Alipofika huko alikoenda alikutana na mwanamke mwingne na wakaharakisha kufunga ndoa, nadhani alifanya haraka ili kunikomoa na kunionyesha ni jinsi gani hanipendi.Baada ya miezi kama mitano ya ndoa yake tulionana kwan nilipangiwa kufanya kazi karibu na eneo alilokua akifanyia kazi yeye. Huwez amini akaanza kunisumbua akiniambia kuwa eti ananipenda tena baada ya kuniona nimenawili. Na mpaka kesho anaendelea kunisumbua kuwa anananihitaji, sasa sijui huko aliokenda amekutana na kitu gani mpka atamani kurudi huku kwangu.
Kiufupi baadhi ya wanaume huwa hawajui wanataka nini katika maisha yao, TSN unaweza ukamuacha huyo mzazi mwenzio na ukaenda kuoa mwanamke mwingne , mwisho wa siku unaweza jikuta unarudi kwa huyu huyu uliyesema humpendi. KUWA MAKINI NA MAAMUZI YAKO. TAFAKARI MARA MBILIMBILI KABLA HUJAAMUA KUFANYA JAMBO.
 
Back
Top Bottom