Nimezaa na nisiyempenda

Nimezaa na nisiyempenda

wanaume wa JF kwa unafiki...

eti nao wanashangaa mwenzo ku du na asompenda...
Hivi nyie hao multiple partners mlo nao wote mnawapenda?
Na wale mnaodiriki hata kulala na ma house girls wenu huku mna wake; mnawapenda?

Kuwa realistic hapa si kujifanya ma saint kisa mwenzenu ameomba ushauri...

Kwa wanaume sex si lazima iwe sawa na love...

NYUMBA KUBWA umejibu vizuri sana,nimejaribu kupitia hizi comment nimegundua wengi wao wanajifanya ma saint kupita maelezo lakini kama ukweli ndio huo huwezi kufanya mapenzi na mtu usiyempenda kwa nini most of people if not all wana michepuko? Nadhani wengi wanacomment kwa kutazama hisia zao na itikadi zao lakini hawaangalii real situation ilivyo katika dunia ya sasa.
 
Pole sana mkuu Tsn. mimi sikulaumu kwani naona ni ajali tu kazini. kikubwa kama humpendi kwel usimuoe ila umlee na kumpa matunzo huyo mtoto na u never know unaweza ukaanza kumpenda na huyo mama mtoto. ila ukipendwa na mwanamke raha saana mkuu. Kila la heri na wanaume wenzangu tusimzarau, kumkebehi wala kumtukana mkuu tsn. Nawakilisha
 
Pole sana mkuu Tsn. mimi sikulaumu kwani naona ni ajali tu kazini. kikubwa kama humpendi kwel usimuoe ila umlee na kumpa matunzo huyo mtoto na u never know unaweza ukaanza kumpenda na huyo mama mtoto. ila ukipendwa na mwanamke raha saana mkuu. Kila la heri na wanaume wenzangu tusimzarau, kumkebehi wala kumtukana mkuu tsn. Nawakilisha

Thanx kaka !
 
toka zako huwezi kuzaa na mtu usie mpenda..acha kupritend...pumbaaaaaaaaaffffffffffffffffffff
 
Unajua mimi nilimkatalia kwenda dry lakini yeye ndio ali insist sana na akadai kwamba yuko makini.
Kwahiyo hata hiyo mimba huna akika nayo kama yako au laa? jee kama alishajua ana mimba ya mwengine na akakubambika wewe? na inakuwaje ufanye mapenzi na mtu usie mpenda? unatuchosha tuu ulikua unaisikilizia utamu ndio mana ukaharibu wala bint wawatu hakukwambia.............
 
jitahid kumpenda ndugu ila moyo ukigoma piga chini
 
Wakati unamtia hukuwahi kuomba ushauri.... namtia nisiyempenda.... majibu ya kazi yako yametoka unataka tusahihishe... no way out learn how to love her..... unakojoa tu uliambiwa unaotesha mti.... ole wako mtoto ateseke pumbafuu kabisa..... Alafu utakuta unakuja na swali mbona wanawake wanazalia nyumbani ......ulianzaje kumtia huku umpendi swali?

Hahahahahaa alikuwa anotesha mti??u made my day
 
chukua mwanao, achana na huyo mwanamke tafuta utakaempenda na kukulelea mtoto wako
...ila kuwa makini sana maana wanawake wa skuizi hawapendi kulea watoto ambao sio wakwao, kutokana na hali ya maisha ukajikuta mtoto hana direction, anateseka tu...

kumbuka na zingatia kwamba ''wapiganapo tembo, nyasi ndo huumia"

hivi unavyosema "chukua mwanao, achana na huyo mwanamke tafuta utakaempenda na kukulelea mtoto wako" unamaanisha huyo mtoto ni kikapu - kwamba kikichukuliwa kitanunuliwa kingine au? Unamaanisha jamaa ana uchungu na mapenzi sana na mtoto kuliko mama mzazi wa mtoto? Mi namshauri kama anampenda sana huyo mtoto basi amuache na mamake, yeye asubiri atakayempenda azae nae na wapendane daima. Mshaambiwa muwe mnafanya maamuzi ambayo mnaweza kubeba matokeo yake.
 
Utamuoa wakati huna mapenzi naye...afu ukazae nje ya ndoa...maana kuna watu wana familia mbili sababu ya ndoa za kulazimisha...

Kipi bora...ulee huyo mtoto mmoja na uoe mke umpendae au umuoe usompenda afu uwe mchapuko profesional?

Za kuambiwa changanya na zako...unaoa sababu ya love nothing else but love...ukibugi hapo ndio utalia kuliko kuzaa nje ya ndoa...

Na wewe unaonekana mpole ndio maana uligandwa ukagandamana...

Mtoto kama ni wako unapaswa umpende na kumtunza...(angalia tu asije kuwa si wako...maana nimeshakuona wewe mpole sana hukawii kubambikiwa...)

mwenzetu una-define vipi upole? Mtu anadai alikuwa hataki mahusiano na binti ila binti akasisitiza na hata kulia akaamua basi wawe marafiki tu. Alipotaka kuvaa soksi binti akamwambia hataupata utamu vilivyo, akamuonea huruma akaingia peku. Mi sijaona upole hapa, ila nilichokiona naogopa kukitaja.
 
Mtoto ana 2months now ni copy n paste ndugu!

Kwa umri huo mtoto hawezi kuonesha anafanana na nani, kwani bado anabadilikabadilika. Hata hivyo mambo ya kufanana na mtoto ya kizamani hayo. Tumia njia ya uhakika, kapime DNA ili uwe na uhakika ni wako. Yawezekana na wengine alikuwa anawapa bila ndomu kama wewe
 
una miaka 27 na hujui nini cha kufanya kwa tatizo lililokukuta....eti umezaa na usiyempenda..Wakati unamtongoza mpaka kufikia kulala pamoja hukushtuka tu kuwa upo na mtu usiyempenda.....Tatizo hapo umemchoka huyo dada na si kwamba haumpendi.Inasikitisha kuona kwamba umemuharibia huyo dada na kupoteza muda wake na mbaya zaidi unataka kumuacha baada ya kumtumia....Sina cha kukushauri zaidi WISH YOU A BAD MOMENT....
 
wanaume wa JF kwa unafiki...

eti nao wanashangaa mwenzo ku du na asompenda...
Hivi nyie hao multiple partners mlo nao wote mnawapenda?
Na wale mnaodiriki hata kulala na ma house girls wenu huku mna wake; mnawapenda?

Kuwa realistic hapa si kujifanya ma saint kisa mwenzenu ameomba ushauri...

Kwa wanaume sex si lazima iwe sawa na love...
Yaani nyumba kubwa, respect..nilitaka kuseam the same thing bahati nzuri umekisema

watu hapa kujifanya watakatifu ni kawaida ya MMU....wanamnanga badala ya kumshauri nini cha kufanya
TSN sio lazima umuoe, ila mpe matunzo kwa kadiri inavyostahili. Mpende mtoto ajue wewe ndiye baba yake. Mwachie uhuru wake pia. Ni hayo tu

oops halafu, TSN huyu nyumba kubwa ni mwanamke, tena mwenye uzoefu mkubwa wa masuala ya ndoa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom