wanaume wa JF kwa unafiki...
eti nao wanashangaa mwenzo ku du na asompenda...
Hivi nyie hao multiple partners mlo nao wote mnawapenda?
Na wale mnaodiriki hata kulala na ma house girls wenu huku mna wake; mnawapenda?
Kuwa realistic hapa si kujifanya ma saint kisa mwenzenu ameomba ushauri...
Kwa wanaume sex si lazima iwe sawa na love...
Pole sana mkuu Tsn. mimi sikulaumu kwani naona ni ajali tu kazini. kikubwa kama humpendi kwel usimuoe ila umlee na kumpa matunzo huyo mtoto na u never know unaweza ukaanza kumpenda na huyo mama mtoto. ila ukipendwa na mwanamke raha saana mkuu. Kila la heri na wanaume wenzangu tusimzarau, kumkebehi wala kumtukana mkuu tsn. Nawakilisha
ni bora angetumia 'tigo' , wala yasingemkuta haya...
Kwahiyo hata hiyo mimba huna akika nayo kama yako au laa? jee kama alishajua ana mimba ya mwengine na akakubambika wewe? na inakuwaje ufanye mapenzi na mtu usie mpenda? unatuchosha tuu ulikua unaisikilizia utamu ndio mana ukaharibu wala bint wawatu hakukwambia.............Unajua mimi nilimkatalia kwenda dry lakini yeye ndio ali insist sana na akadai kwamba yuko makini.
Wakati unamtia hukuwahi kuomba ushauri.... namtia nisiyempenda.... majibu ya kazi yako yametoka unataka tusahihishe... no way out learn how to love her..... unakojoa tu uliambiwa unaotesha mti.... ole wako mtoto ateseke pumbafuu kabisa..... Alafu utakuta unakuja na swali mbona wanawake wanazalia nyumbani ......ulianzaje kumtia huku umpendi swali?
chukua mwanao, achana na huyo mwanamke tafuta utakaempenda na kukulelea mtoto wako
...ila kuwa makini sana maana wanawake wa skuizi hawapendi kulea watoto ambao sio wakwao, kutokana na hali ya maisha ukajikuta mtoto hana direction, anateseka tu...
kumbuka na zingatia kwamba ''wapiganapo tembo, nyasi ndo huumia"
Utamuoa wakati huna mapenzi naye...afu ukazae nje ya ndoa...maana kuna watu wana familia mbili sababu ya ndoa za kulazimisha...
Kipi bora...ulee huyo mtoto mmoja na uoe mke umpendae au umuoe usompenda afu uwe mchapuko profesional?
Za kuambiwa changanya na zako...unaoa sababu ya love nothing else but love...ukibugi hapo ndio utalia kuliko kuzaa nje ya ndoa...
Na wewe unaonekana mpole ndio maana uligandwa ukagandamana...
Mtoto kama ni wako unapaswa umpende na kumtunza...(angalia tu asije kuwa si wako...maana nimeshakuona wewe mpole sana hukawii kubambikiwa...)
Mtoto ana 2months now ni copy n paste ndugu!
ulizaa kwa njia gani ndugu, pole sana.
Yaani nyumba kubwa, respect..nilitaka kuseam the same thing bahati nzuri umekisemawanaume wa JF kwa unafiki...
eti nao wanashangaa mwenzo ku du na asompenda...
Hivi nyie hao multiple partners mlo nao wote mnawapenda?
Na wale mnaodiriki hata kulala na ma house girls wenu huku mna wake; mnawapenda?
Kuwa realistic hapa si kujifanya ma saint kisa mwenzenu ameomba ushauri...
Kwa wanaume sex si lazima iwe sawa na love...
Hahahahahaa alikuwa anotesha mti??u made my day
nop, me nimesema tu, ....tabibumtaratibu are you really of this type??????????