tabibumtaratibu
JF-Expert Member
- May 29, 2011
- 2,414
- 1,216
Ukipanda Miwa utavuna miwa, Asema BWANA
BWANA yupi anasema hivyo? bila shaka atakua BWANA Shamba...
Ukipanda Miwa utavuna miwa, Asema BWANA
mmh!
mshaona madhara ya vodafasta eeeh???
Umeuliza swali zuri sana,nimeanzaje kumtia wakat simpendi ..right ni kwamba she was the one who spoke to me kwamba ananihitaji,of course nilimkatalia kwamba siko tayari nina mpenzi wangu(though kwa muda huo nilikuwa single)but hakutaka kuelewa kila siku akawa anaendelewa kuniplease huku analia mara kwa mara..at the end of the day nikamwambia basi tuwe marafiki wa kawaida tu.sasa katka urafik wetu wa kawaida akafanikiwa kunishawishi na mm kama binadamu nikajikuta nimeanguka so am very confused by now!!
true bora angetumia tigo 2!ni bora angetumia 'tigo' , wala yasingemkuta haya...
Kama kuna uwezekano mwambie arudishe hicho kiumbe tumboni, ukishampenda ajifungue.
Binafsi siwezi kufanya mapenzi na mwanamke nisiyempenda. Mada hii hainiingii akilini.
Mmmh! Haya tumesikia,I am curious though kujua definition yako ya "kupenda", hivi kutamani na kupenda ni tofauti brother?
BWANA yupi anasema hivyo? bila shaka atakua BWANA Shamba...
Tofauti ni kubwa sana ndugu yangu haujuhi.
Ukisikia mimi na lara 1 tumeamuwa kuwa na mtoto au watoto basi si kwa bahati mbaya bali ni kwa sababu ya kupendana. Nilishamtamani siku nyingi ila stage hiyo hatupo tena.
Wana jf naombeni ushauri wenu najihisi kama nimepoteza.Mimi ni kijana wa miaka 27 nimetokea kuzaa na msichana nisiyempenda..sasa sijui nifanyeje ili niweze kumpenda maana hayupo moyon kabisa.