Nimezaa na nisiyempenda


You said it all. Jambo lolote ulitendalo liwe jema ama baya kumbuka kuwa hiyo ni mbegu unapanda na itaota siku moja.Ukipanda mema utalipwa mema na ukipanda mabaya yatakurudia hayohayo. Kajisemea Lara1 karma is a slut.
 
mmeshafanya kosa la kwanza msifanye la pili,msioane kama hampendani,mtoto sio kisingizio cha kuoana,u can still play your part as a good father bila kuoana na huyo bibie.....................
 

Ha ha haa,you made my day Daud ..nilikuwa na stress but angalau zimepungua ..yaan una ni convict kwamba nina akili za kitoto kumbe wewe ndio Raisi
 
Ukome ndo mambo ya ku hit and run lea mtoto hyo tena ndo copy yako huna cha kupinga.Maji yashamwagika hayaokoteki cha msingi tafuta hela ulee mtoto afu tafuta mwanamke unayempenda

Kulea kwangu sio tatizo kabisa ni issue ndogo sana but the problem is his mother!!
 

Umenipatia kisa kizuri na chenye mafundisho lakini nitaanzaje kuufundisha moyo wangu umpende yeye.
 
Wana jf naombeni ushauri wenu najihisi kama nimepoteza.Mimi ni kijana wa miaka 27 nimetokea kuzaa na msichana nisiyempenda..sasa sijui nifanyeje ili niweze kumpenda maana hayupo moyon kabisa.

Pasua moyo uingize picha yake!
 
Kuna watu wana comment za kuongeza stress duuuhh..!but all in all ni kwamba sidhani kama mimi ndio wa kwanza kupatwa na scenario kama hii...ngoja waje wahanga wenzangu wanipe experiencies zao walisolve vipi..karibuni!!!
 

Na condom huvai alafu unasema humpendi, mbaya zaidi alitegemea nini alipoingia bila protective gear huku akijua hampendi
 
hivi unaanzaje ku do na mtu usiyempenda?
unawezaje?

i feel sorry for the lady..muache aende zake
 
Kuna watu wana comment za kuongeza stress duuuhh..!but all in all ni kwamba sidhani kama mimi ndio wa kwanza kupatwa na scenario kama hii...ngoja waje wahanga wenzangu wanipe experiencies zao walisolve vipi..karibuni!!!

Hapo ni kulea tu mtoto huna jinsi mkuu maana karne hii kutelekeza mtoto ni soo na sio fresh especially kama bidada alikutanulia miguu ukapita na uka-enjoy maana ukimkuta mdada tu anajisaidia kwa bahati mbaya ataona aibu japo hujakiona kikojoleo chake lakini yeye amekuachia umepita bila nongwa, kuoa unaweza usioe lakini mtoto komaa kusaidia matunzo hiyo chukulia kama dharula wakati wa mechi
 
Pumbu-fu kabisa unaweza Kuja na ujinga kama Sera za Magamba hapa jukwaaani? Wakati unafanya ulidhami unapiga nyeto? Go to hell kabla sijaku-castrate
 
Jifunze hapo
 

Attachments

  • 1410255278546.jpg
    50.7 KB · Views: 146
Humpendi na bado ukalala nae!!! lengo la kulala nae tena bila ndomu ilikua nini na je ulikua na umpendaye wakati unalala na huyo usiyempenda?
 
Una kiranga, kama kuna kitu cha kuwa makini duniani ni unazaa na nani. Bond ya milele hiyo, bora uangushe mbegu ya mnazi ovyo lakini si ya.mtoto.

Usimuoe, mtoto pekee si sababu ya kuoana.

Huyu hana msimamo hata kidogo...!!!toka lini mwananume akapangiwa kutumia au kutokutumia protection tena mtu humpendi...!!siku zote huwa nasema mwanaume kamili ni yule mwenye msimamo na anayejua kusimamia anachokiamini...!!!
 
Pumbu-fu kabisa unaweza Kuja na ujinga kama Sera za Magamba hapa jukwaaani? Wakati unafanya ulidhami unapiga nyeto? Go to hell kabla sijaku-castrate

Hahhaahahahhaa wallah Elli umenichekesha sana
Tatizo ujana maji ya moto alaf yakiwa mwagikia wana anza kupata wazim instead wafikirie constructive ideas to change the country busy asking for advise ya jinsi ya kwenda kumpenda mzinifu mwenzie
 
Last edited by a moderator:
Hahhaahahahhaa wallah Elli umenichekesha sana
Tatizo ujana maji ya moto alaf yakiwa mwagikia wana anza kupata wazim instead wafikirie constructive ideas to change the country busy asking for advise ya jinsi ya kwenda kumpenda mzinifu mwenzie

Juzi juzi hapa wamekuja watu wanafundisha Kichina Kispanishi na kifaransa! Vijana waliojiandikisha na wanaohudhuria hawazidi hamsini. Yaani kutwa nzima ni papuchi tuuuuuuu halafu at the end of the day wanalalamika
 
Last edited by a moderator:
wanaume wa JF kwa unafiki...

eti nao wanashangaa mwenzo ku du na asompenda...
Hivi nyie hao multiple partners mlo nao wote mnawapenda?
Na wale mnaodiriki hata kulala na ma house girls wenu huku mna wake; mnawapenda?

Kuwa realistic hapa si kujifanya ma saint kisa mwenzenu ameomba ushauri...

Kwa wanaume sex si lazima iwe sawa na love...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…