Nimezaa na nisiyempenda


Kudiscuss issue na mtu ambaye amechanganyikiwa ni hatari..
 
Wana jf naombeni ushauri wenu najihisi kama nimepoteza.Mimi ni kijana wa miaka 27 nimetokea kuzaa na msichana nisiyempenda..sasa sijui nifanyeje ili niweze kumpenda maana hayupo moyon kabisa.
Uliwezaje kusimama kama hukupenda?
 

Well said kaka,nadhan hili liwe funzo kwa wengine wasije pitia haya majanga kiukweli yanaumizaa ..
 
Wana jf naombeni ushauri wenu najihisi kama nimepoteza.Mimi ni kijana wa miaka 27 nimetokea kuzaa na msichana nisiyempenda..sasa sijui nifanyeje ili niweze kumpenda maana hayupo moyon kabisa.
Ulimtongoza au alikubaka?
 
Watu wanataka ndoa kwa nguvu jamani. Me nahisi hata hiyo mimba alikutegeshea makusudi tu. Kazi ipo kwako sasa kusuka au kunyoa, but usijilazimishe kumuoa mtu kwa sababu ya mtoto. Ukishindwa kujifunza kumpenda huyo binti basi muache tu.

Kiukweli naweza amini hicho unachokisema ,coz mara kwa mara nilimsikia akisema anatamani kuzaa na mimi na mimi nikawa namjibu sipo tayari kwa sasa labda miaka kadhaa ya mbele..na kuna muda nilidhamilia kubreak kabisa relationship coz sikufanya mawasiliano karibia mwezi mzima sasa cjui nn kilitokea nikajikuta narudiana nae na tuja du.
 

Ni haki yako kusema hayo unayosema ndugu kwa sababu hayajakukuta,but ukweli ni kwamba everything was clear before kwa sababu nili mnotify mapema kwamba sihitaji mtoto kwa miaka ya karibuni na yeye akakubali ,nikamwambia tutumie cndms akasema zinamuumiza atatumia njia nyingine za kuzia mimba..sasa hapo ndio na wasi wasi inawezekana hakutumia hizo njia.
 
Kwanza hongera kwa kuongeza idadi ya majembe.e.ee tz, kwani kila siku huwa nakasirika sana naposikia idadi ya majembe ni ndogo kuliko iyo jinsia ya pil.
Pili pole kwa maswahibu yaliyokukuta kwa kuzaa na mwanamke usiyempenda.
Lakin usikate tamaa,huwezi jua pengine huyo unaemwona mbaya ndio chaguo na ndiye mwema kwako..ukienda kwingine utajuta na kusaga meno... Pitia hii..
"bora ukosee kujenga nyumba,kuliko kukosea kuoa" nimequote toka kwa lori moja ivi
 
Wana jf naombeni ushauri wenu najihisi kama nimepoteza.Mimi ni kijana wa miaka 27 nimetokea kuzaa na msichana nisiyempenda..sasa sijui nifanyeje ili niweze kumpenda maana hayupo moyon kabisa.

jikaze tu oa huyo huyo...mbona we we mwenyewe daddy ako hakuwah kumpenda mama ako
wakakuzaa we we ndo ukawa reason ya wao kuish pamojaa@jkaze muoe utupunguzie majambaz uswailin hukuu nawasilisha
 
He is my son n I do love him.lakin amezaliwa kwa mama siye!

maskini dada wa watu!!!!
kakupa mapenzi kabeba ujauzito kateseka kichefuchefu kahangaika, kapata na maumivu leba leo unamuona sie dah....baadae mtoto akiwa njema unakuja pmb mbele kudai we ndo baba haya bana....
 
Wana jf naombeni ushauri wenu najihisi kama nimepoteza.Mimi ni kijana wa miaka 27 nimetokea kuzaa na msichana nisiyempenda..sasa sijui nifanyeje ili niweze kumpenda maana hayupo moyon kabisa.
Utakoma ugongaje mtu ambaye hujampenda we komaa hilo tayari balaa lako mkuu mda siyo mrefu mtapata mtoto wa pili.
 
Yeah ni kweli but alikuwa anadai haenjoy kutumia cndms

Wewe mwenyewe ulikuwa unapenda bila ya hiyo sijui nn....usimsingizie mwenzio hapa mlikubaliana huko leo kibao kimegeuka wasema yy ndo alikuwa hataki..
 
We we ni mojawapo wa wale wa kutembeza pumbu kwa akili za chini,akili ikikukaa sawa utakuwa umechelewa
 
Wana jf naombeni ushauri wenu
najihisi kama nimepoteza.Mimi ni kijana wa miaka 27 nimetokea kuzaa na
msichana nisiyempenda..sasa sijui nifanyeje ili niweze kumpenda maana
hayupo moyon kabisa.

kama humpendi ulipenda nn kwake mpaka mimba?au ulipenda k? sasa huyo ndo mkeo wa maisha jitaid kumthamin
 

mtamu huyo ongera sana
 
I regret this so badly n am feel very sorry for my soul..unajua kuna some incidence huwa zinatokea bila hata kutegemea..cjui hata nifanyeje ..when I look at my son drop of tears hits the ground

Kwamba mtoto anasura mbaya kama mamake au??
 
Unajua mimi nilimkatalia kwenda dry lakini yeye ndio ali insist sana na akadai kwamba yuko makini.

Kama ulikuwa humpendi uliendaje naye kitandani na ukaweka du.. yako kwake?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…