Nimezaa na mke wa mtu

Nimezaa na mke wa mtu

Umetenda dhambi ya Uzinzi, Ibirisi anatafuta kuingamiza nafsi yako
Run ....................!!!!!!!!!!!!!!!!
Kimbilia kwa Yesu ukatubu
Kasome Methali 6:32
 
Umchuke mtoto umpeleke wapi sasa? huyo mtoto si wako broda. Kama kweli unampenda huyo mama, achana kabisa na hiyo biashara ya mtoto

Ile ni damu yangu lazima nimchukue uhakika ninao 100%.
 
Wakuu pasipokujua niliazisha uhusiano na mke wa mtu tukiwa chuoni,mpaka kupelekea kumpa mimba ndipo nilijua kuwa ni mke wa mtu kwani aliamua kuniweka wazi, sasa jana nimekutana nae akiwa na mtoto kwa kweli mtoto ni mzuri sana nifanyeje ili nimchukue

aiseee shukuru mwenyewe hajui kweli yule doc wa vinasaba alisema kweli..
 
Kama Ibilisi aliwaingia mkafanya uzinzi,si ajabu mkashirikiana na huyo mama tena,akamuua bwana yake ili uwe huru na huyo mtoto.Kijana angalia sana.
 
kasi ya wake za watu kugawa kama njugu mbona inaongezeka sana mmmmmh naww unatafuta kufa kabla ya siku ulizoandikiwa na muumba wako,una hakika gani kama kweli ww ndo baba wa mtoto hebu nenda taratibu mke wa mtu sumu,hapo ulipo una case ya kujibu halafu unatafuta ya pili.
 
Utaoa tu na wewe.....what goes around comes around,usitudanganye uongo wa kitoto,km kwel ni mke wa mtu lazima ulikuwa unajua kuwa kaolewa.
 
achana na mke wa mtu Arifu, usije ukajikuta unazaa na mumewe pia.....
 
huwezi pata huyo mtoto , ukitaka kujua dunia chungu peleka pua yako kudai huyo mtoto.
 
Wewe dogo aliyekuambia huyo mtoto ni wa kwako nani? Au umemuona mzuri unadhani mume wake hawezi kuzaa mtoto mzuri? Halafu bado katika kipindi hiki unatembea na mwanamke uliyekutana naye chuo bila kinga? Kama unataka kumsaidia huyo mwanamke matunzo ya mtoto kama mpenzi wako wa zamani msaidie lakini hilo la kumchukua huyu mtoto nakushauri ukajadiliane na mume wake pengine anaweza kukuruhusu!

eti kigezo ni uzuri na hasemi kama alishakutana na mumewe akamwona...na wala hasemi ikiwa mtoto anafanana naye hata kwa kuibia
 
Back
Top Bottom