Nimewekwa kwenye blacklist NMB

Nimewekwa kwenye blacklist NMB

Kiplayer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
1,355
Reaction score
2,261
Nilihamisha mshahara kutoka NMB kwenda CRDB, tatizo wakati nahamisha nilikuwa nadaiwa salary advance. Baada ya kuchelewa kulipa Kwa muda wa wiki moja nikawekwa kwenye blacklist. Wazoefu natoka vipi kwenye hii list?
 
Unahisi umeonewa kuwa blacklisted?
 
Nilihamisha mshahara kutoka NMB kwenda CRDB, tatizo wakati nahamisha nilikuwa nadaiwa salary advance. Baada ya kuchelewa kulipa Kwa muda wa wiki moja nikawekwa kwenye blacklist. Wazoefu natoka vipi kwenye hii list?
Yani hapo hukutakiwa kuchukua advance against salary sababu ulishafanya process ya kuhama kwao na kuhamia benki nyingine. Mbaya zaidi baada ya kupokea salary hukulipa deni kwao kabla akaunti yako haija overdraw.
 
Dawa ya Deni ni kulipa mkuu, NO SHORTCUT[emoji4]
Bado wale mnaokopa benki hii, hati zenu OG ziko benki ile.

Kilio chenu kinakuja soon, na hizi sheria za namba ya nida kila a/c ndo zitawasagia wengi kunguni hamtaamini[emoji4].

Naskia
BOT sahivi wameyaunganisha mabenki yote, na wakopaji wote kwenye mkeka wapamoja.

Yaan
Ukiwa na kimeo NMB kinasomeka CRDB,Tpb kote Hadi DTB.

Ukitaka kukopa nmb bado unadeni crdb, unaambiwa Kwanza kamalize kile kimeo chako CRDB Kisha ndo uje Tena. INAUMIZA SANA

imemkuta iyo jirani mmoja mwezi wa 10 mwaka Jana pale NMB magomeni[emoji4]

Mkuu,
Hapo KICHWA LAZIMA KIWAKE MOTO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi aibu ndogo ndogo jamani [emoji849][emoji849]
Sio ndogo,

uyo hakopesheki Tena. Haaminiki.

Afu kitu ni doa sana,
Itamsumbua hata uko mabenki mengine maana iyo blacklist nowdays inatembea mabenki yote.

Maafisa mikopo watakua wanamkwepa, hata aweke dhamana Kia's gani.

Otherwise atalazimika Sana kutumia rushwa kuombea mikopo, kitu ambacho hakileti afya nzur sana kwa mkopaji wamara kwa mara. Inakata stimu sana[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom