Nimewekwa kwenye blacklist NMB

Nimewekwa kwenye blacklist NMB

Sio ndogo,

uyo hakopesheki Tena. Haaminiki.

Afu kitu ni doa sana,
Itamsumbua hata uko mabenki mengine maana iyo blacklist nowdays inatembea mabenki yote.

Maafisa mikopo watakua wanamkwepa, hata aweke dhamana Kia's gani.

Otherwise atalazimika Sana kutumia rushwa kuombea mikopo, kitu ambacho hakileti afya nzur sana kwa mkopaji wamara kwa mara. Inakata stimu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu haufai KUUGUZA!
 
Dawa ya Deni ni kulipa mkuu, NO SHORTCUT
Bado wale mnaokopa benki hii, hati zenu OG ziko benki ile.

Kilio chenu kinakuja soon, na hizi sheria za namba ya nida kila a/c ndo zitawasagia wengi kunguni hamtaamini.

Naskia
BOT sahivi wameyaunganisha mabenki yote, na wakopaji wote kwenye mkeka wapamoja.

Yaan
Ukiwa na kimeo NMB kinasomeka CRDB,Tpb kote Hadi DTB.

Ukitaka kukopa nmb bado unadeni crdb, unaambiwa Kwanza kamalize kile kimeo chako CRDB Kisha ndo uje Tena. INAUMIZA SANA

imemkuta iyo jirani mmoja mwezi wa 10 mwaka Jana pale NMB magomeni

Mkuu,
Hapo KICHWA LAZIMA KIWAKE MOTO.



Sent using Jamii Forums mobile app
Dhaaaa nmecheka aiseee
Yani wakiweka number ya nida inaleta
Makorokocho yako yote uloyonayo
 
Hufai Kuaminiwa....
Si Mwadilifu...
Ulijaribu Kuwaliza Salary advance Wamekushtukia...! HUFAI
Umelileta Shauri Kwenye Mahakama ya Wananchi na hii ndo hukumu..!
 
Hufai Kuaminiwa....
Si Mwadilifu...
Ulijaribu Kuwaliza Salary advance Wamekushtukia...! HUFAI
Umelileta Shauri Kwenye Mahakama ya Wananchi na hii ndo hukumu..!
Ndugu nilichokosea ni kuchelewesha malipo na si kuwaliza! Masuala ya alama za vidole utajificha wapi?
 
Back
Top Bottom