Unahisi umeonewa kuwa blacklisted?Nilihamisha mshahara kutoka NMB kwenda CRDB, tatizo wakati nahamisha nilikuwa nadaiwa salary advance. Baada ya kuchelewa kulipa Kwa muda wa wiki moja nikawekwa kwenye blacklist. Wazoefu natoka vipi kwenye hii list?
Kaongee na branch manager wakoNimelipa Mwezi wa tatu sasa
Yani hapo hukutakiwa kuchukua advance against salary sababu ulishafanya process ya kuhama kwao na kuhamia benki nyingine. Mbaya zaidi baada ya kupokea salary hukulipa deni kwao kabla akaunti yako haija overdraw.Nilihamisha mshahara kutoka NMB kwenda CRDB, tatizo wakati nahamisha nilikuwa nadaiwa salary advance. Baada ya kuchelewa kulipa Kwa muda wa wiki moja nikawekwa kwenye blacklist. Wazoefu natoka vipi kwenye hii list?

. 
Sio ndogo,Hizi aibu ndogo ndogo jamani![]()

Sahii kabisa,Hawataishia hapo utaingia kwenye blacklist ya bank zote tz kwasababu blalist zote zinapelekwa BOT alafu wanaisambaza kwenye bank zote.
