Nimeweka mchele ndani nasubiri bei ipande

Anko Kong

Senior Member
Joined
Jul 3, 2020
Posts
130
Reaction score
72
Habari zenu wakuu, ninahitaji msaada wa mawazo kutoka kwenu,

Nina mpunga nimeupaki nimesubiri bei ipande ndio niuze je, kuna njia gani nyingine nitumie ili niweze kukizi mahitaj yangu maana naona kama napoteza muda.

Nahitaji ushauri wa kibiashara tu.
 
Mkuu wewe ulidhani ukihifadhi mpunga utauza baada ya muda gani ?

Anyway kabla hujafanya biashara yoyote Jitahidi kusoma soko zima la hiyo biashara. Soko la mpunga linajumuisha kununua mpunga msimu wa kuvuna mpunga na kuja kuuza kwenye kipindi mchele unapokuwa adimu.

Kwa mfano kwa morogoro kuanzia mwezi wa 5 mpaka 7 ndio kipindi Cha kuvuna na kununua mpunga ili kuja kuuza mwezi wa kuanzia 10,11, na 12.

Kwasasa gunia la mpunga ni Kati ya 30,000 mpaka 50,000 lakini miezi ya kuuza utauza kuanzia 60,000-100,000
 
Mpunga nimeununua mwezi wa tano nategemea kuuza mwez wa 11 mkuu
 
1. Umeshaamua kuwekeza kwenye mpunga hadi utakapouza hapo mwezi wa 11
2. Unaomba ushauri utaishije hadi hiyo November?

Biashara ya utunzaji wa nafaka kama hiyo ni lazima uwe na mishe nyingine inayokufanya uishi kwasababu hapo huna mzunguko tena kwa sasa!

Yawezekana ulikuwa hujafikiria vizuri kuifungia hela kwenye mpunga hadi November wakati uliihitaji iendeshe maisha yako ya kila siku
 
Ndio mkuu nawaza nitaishije had November na sina ktu mfukon
 
Naomba kuuliza jinsi ya kuhifadhi mchele ili usiharibike haraka
Kwenye godown nyingi now wanapofanya grading pia wanahuduma ya kuupaka mchele mafuta. Sasa unakuta ukiutunza hautoi ule unga unga ambao unapelekea mchele kuharibika haraka.
 
Ukisubiri sana wahindi wataenda Pakistani kuleta mchele sawa na bure.
 
Habari zenu wakuu, ninahitaji msaada wa mawazo kutoka kwenu,

Nina mpunga nimeupaki nimesubiri bei ipande ndio niuze je, kuna njia gani nyingine nitumie ili niweze kukizi mahitaj yangu maana naona kama napoteza muda.

Nahitaji ushauri wa kibiashara tu.
Unaonekana unafanya kitu usichokuwa na uhakika nacho ndugu. Anyways usihofu.... Subiri muda ufike kisha uuze ujionee kama ni faida ama hasara
 
Wakati wewe unakimbizana na ongezeko la shilingi Mia 3@ wenzako had Nov hiyo miatatu inazaa had kufika maelfu! Kwakweli kupanga ni kuchagua!
 
Nadhani kuwa makini isije kufika hio Nov ukakuta mpunga wote umeharibika...una utaalamu wa kuhifadhi nafaka? tuanzie hapo.
 
Hapo ni kubaka biashara ya chakula.kama umelima na bei ya sasa inakullipa uza fasta ukanunue tena uuze pesa iwe kwenye mzunguko. Na hata kama unalangua kwa wakulima langua kwa bei ambayo utakuja kuuza kwa faidi ili watu wapate chakula na wewe upate faida.
 
Sina utaalamu mkuu Kwan mpunga pia unaharibika mkuu?
 
Hapo ni kubaka biashara ya chakula.kama umelima na bei ya sasa inakullipa uza fasta ukanunue tena uuze pesa iwe kwenye mzunguko. Na hata kama unalangua kwa wakulima langua kwa bei ambayo utakuja kuuza kwa faidi ili watu wapate chakula na wewe upate faida.
Huku kwetu Bei ipo chini sana sh 900 kwa kilo moja
 
Back
Top Bottom