Pota
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 2,031
- 760
kuna jamaa mmoja alibahatika kwenda kusoma majuu kwa miaka miwili.
aliporudi tz, basi mwendo wake ukawa wa kudunda dunda na kuinamia upande
mmoja (kushoto) basi cku moja baba yake akamuuliza, kwa nini unatembea
ukiwa umebend upande mmoja? we mlemavu? jamaa akamjibu baba unajua
nnilipokuwa majuu muda mwingi nilikuwa nashika vitabu kwa kutumia mkono
wa kushoto hivo nshazoea dingi au sio? usimind wala nini.
baba yake akamwambia, mshenzi mkubwa wewe mbona mimi nimewazaa
nyinyi kumi na mbili lakini nikitembea mbona sikatikati viuno?