SaraM
Senior Member
- Sep 8, 2011
- 162
- 109
kimei miye nimesoma mjini
Aisee hakuna aliesoma mjini humu? Maana kila mtu kaawacha wenzake kijijini!
Aisee hakuna aliesoma mjini humu? Maana kila mtu kaawacha wenzake kijijini!
Hivyo ndivyo inatakiwa SaraM my dear. Kuukubali ukweli na hali halisi. Kuishi kulingana na hali iliyopo na si kujutia. Nimekugongea LIKE pale juu, kaikague.Nina amani sana tu na maisha yanaendelea kama kawaida. ahsante ashsdi
Uzuri ni kuwa anajua salamu kazipitishia kwenye mikono salama.........
Nina amani sana tu na maisha yanaendelea kama kawaida. ahsante ashadi
Na si unakumbuka ahadi yangu? Nairudia tena kwa heshima yako: Sitakuangusha!Wee unafikiri kwa nini nakuita My Great old shem??.... I am safe with you.... let alone yale yanayopitishiwa mikononi mwako..... hata salam pia...
Na si unakumbuka ahadi yangu? Nairudia tena kwa heshima yako: Sitakuangusha!
Na si unakumbuka ahadi yangu? Nairudia tena kwa heshima yako: Sitakuangusha!
hivyo ndivyo inatakiwa saram my dear. Kuukubali ukweli na hali halisi. Kuishi kulingana na hali iliyopo na si kujutia. Nimekugongea like pale juu, kaikague.
Karen dear... Mie naamini saana moja ya njia ya kua na Amani... ni kutambua ulipo is the best thing na kwamba Mungu ndio kakuwezesha - hivo kukufanya siku zinapozidi kuenda uendelee kubarikiwa... Thus kutambua kwako hivo... means una bahati ya huo utambuzi meaning uko appreciative ya maisha yako... Hongera kwa hili pia... Stay blessed.
Ahsante nimeikagua aspin,mbona nikibinya ina feint?Hivyo ndivyo inatakiwa SaraM my dear. Kuukubali ukweli na hali halisi. Kuishi kulingana na hali iliyopo na si kujutia. Nimekugongea LIKE pale juu, kaikague.
Sawa kabisa. Kwa muktadha huu hapa chini............Na huo ndo mkataba tuliosainiana, vigezo na masharti kuzingatiwa.hommie....usitake kupanda farasi wawili wka wakati mmoja....sawa? :A S-rap::A S-rap:
I know... I know... Mpaka sasa you have proven that.... You Great Shem of mine... Thank you...
Ahsante nimeikagua aspin,mbona nikibinya ina feint?
Ukibinya nini SaraM, angalia sredi isijehamishiwa kwa Maria Roza kule.........Labda haubinyi vizuri, hebu binya tena tuone.Ahsante nimeikagua aspin,mbona nikibinya ina feint?
Well sisi tulianza darasa la kwanza tukiwa 75 ila tuliomaliza nadhani tulikua around 60...wengi walirudia darasa la nne .
Zaidi ya 15 tulifaulu...waliobaki nna uhakika kuna baadhi walifanikiwa kuendelea kwenye shule za private...wengine wakarudia darasa la saba na wengine well i dont know waliamua kufanya nini.
Kwasababu ya kuhama nimewapoteza wengi wa waliokua marafiki zangu.Ila mwaka 07 nilifanikiwa kuwaona baadhi bado wakipiga kitabu nikafurahi kweli. Sasa hivi kuna wawili najua wako chuo...mmoja Dodoma na mwingine UDSM ila hatuna mawasiliano.... nikipata nafasi ntawatafuta.
Good memories...
Ukibinya nini SaraM, angalia sredi isijehamishiwa kwa Maria Roza kule.........Labda haubinyi vizuri, hebu binya tena tuone.
Dinnah kumbe bado uko chuo? Soma dada, angalia usije ukawa addicted na JF nawe ukaishia mwaka wa pili.........
Haya log out, kashike kitabu..........:A S crown-1:
Mara nyingi tunaangalia mbele na kusema "sijafanya chochote maana ninapo enda ni mbali sana"
Week iliyopita nilikutana na class mates wangu tulio maliza wote darasa la saba (LY,haha)
Nikakumbuka,katika darasa lile,tulimaliza watu 68 mwaka huo ila:-
*ni watu wa nane (8) tu tulio chaguliwa kuingia kidato cha kwanza.
*katika hao wanane,ni watu 6 tu tulio maliza form four
*katika hao 6,ni wawili tu tulio ingia advance.
*katika hao wawili,tuliingia wote chuo.
Nikafikiria,hao wengine 66 wako wapi?
Ofcourse,wengine hawakusoma lakini wana maisha mazuri tu,ni kama wa3 kati ya wote
ninao wafahamu.
Nilitokwa na machozi kwani hii ilikua sababu tosha kwangu
kumshukuru Mungu kwani alipo nitoa ni mbali haijalishi naenda wapi.
Unawakumbuka watu ulio maliza nao darasa la 7(maana hawa ndio mlikua wote utotoni)?
wako wapi na wana hali gani?
love hapo kwen underline...nakubaliana na wewe kabisa, in a hard way....thats how life is
kwenye blue...I wish kuwe na ka reunion flani hivi, lakini how would they deal with inferiority complex? kwamba while yeye anafikiair watoto labda 6 hivi na amechoka, anajichanganya vipi na mtu aliyekuwa anakaa naye, kula naye, kucheza naye at the same level leo hii ni 'ntu mkubwa tu'? inauma sana aisee
Love, please give me my favourite drink before I go down....