Nimewaona,nimemshukuru Mungu

Mimi nilifaulu peke yangu darasani, na wenzangu wachache walienda shule za private, wakati huo tunakaa wilaya ya Monduli, hivyo kwa mila za enzi hizoo wengi walikuwa wanatoroka kuolewa au kuingia kwenye umorani,

Mpaka sasa sijaweza kuwapata classmates was std 7 kwani mzee alihamishwa mwaka huohuo, siwakumbuki wengi majina yao maana ni miaka mingi sana

Lakini kwa waliosoma Mazoezi Primary School, kama mnamkumbuka Nsiande the monitress....

Ingekua watu wana real id's maybe ingekua rahisi kukutana na classmates humu pia haha.

Ingekua watu wana real id's maybe ingekua rahisi kukutana na classmates humu pia haha.

Actually this is my real name na waliosoma primary lazima watanikumbuka tu, ila la ubatizo ni jingine...kuna mmoja tumeshajuana ,maana nilikuwa nafanya maigizo sana and imitates voice za watu enzi hizo, au Mzee Mwinyi alipokuja wilayani kwetu ndio nilimvisha scarf wa mazoezi primary mni PM kama mpo

Duh,aiseee inabidi nianza utaratibu wa kutoa "shikamoo" kabla

sijaanza kuchangia mada humu.

It's a challenge kumheshimu mtu hata kama humuoni au yuko mbali.

hahahahaha!! Humu kuna mababu na mabibi.

Mimi kuna siku nilihisi kuna mtu anachomoa wallet yangu kwenye back pocket, ile nageuka tu nakumbana face to face na classmate wangu ndio kibaka wangu, nilimlembea bonge la mkono kwanza halaf ndio tukaulizana habari za shule na kupoteana.

khaaa! Wewe jambazi classmates wako vibaka. Umesoma shule gani wewe?

darasa letu tulikuwa na Faiza Foxy na Malaria Sugu, sote tulifeli std seven na tukasambaratika mpaka tulipokutana tena hapa jf_hivi karibun tulivotembeleana ndipo nikajua MS anaish kwa mtogole, mimi kwa sokota na FF kwa tumbo

hahahaha! Watu mna visa.lol.

huyo bebi wangu amesoma hadi amekutana na kibao kimeandikwa mwisho wa elimu.
Uporoto bebiiiii!!

Hamni jump roho bana! hebu tembelea profile langu nimepata bonge la zali, kuna kamchumba kanaitwa tracymatusi, hata kiswahili hakajui kamenidondokea.

duh! ungejua mi hupiga kura tu tena kwa kufunga macho lol! thread gani mkuu niwape maneno yao ?
Ile sredi nimeisahau na sasa hivi ile password yangu ya Umod imekuwa deactivated mpaka kesho. unajua sku hizi mod tunafanya kazi kwa shift.

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom