Nimewaona,nimemshukuru Mungu

kweli umetukumbusha mbali sana lakini ndio maisha kwenye darasa langu alifaulu msichana mmoja tu wengine wote hatukufaulu mimi nilikaa kijiji kwa muda wa miaka 5 ndio nikaamua kwenda private ndio mpaka sasa nimefikia hatua ya Msc. lakini jama zangu wengi wamechoka mbaya ukiingia kijijini ni aibu wanawajukuu na watoto wengi sana
 
Sure,ni magumu sana.
Unajua nini kilinifanya nimshukuru Mungu zaidi?
sijawahi kua namba1 au 2 nafasi kubwa niliyo kwisha kamata darasani ni 3
tena nikiwa darasa la tano.
Lakini pia sijawahi kuondoka kwenye top 10,iwe primary,olevel,advance.

Na yule aliye kua anaongoza primary,toka
darasa la kwanza hadi la 7 alikua wa kwanza yeye na
alimaliza vigumu sana form 4 akapata div4.32.
(sio kwa sababu ya ugumu wa kifedha,nope,tulipotoka kijijini alikua mtu wa starehe sana)

Ila leo hii yupo anachukua diploma,alianza na certificate.
Namuombea apande juu zaidi
Hongera sana clemmy
 
Dah,clemmy umenikumbusha mbali sana!kuna mdada wakati niko 1st yr chuo,tumefukuzwa mgomo nikakutana nae karibia na home. her perfume ndo ilini-strike sana,coz she was smelling devine. quick hug ananiambia bado tu unasoma jamani,utazeeka! i am married na 3 kids sasa! mwanaume wa mbuguni (unajua cha arusha tena,lol). mumewe akaja na kipikipiki chao tukaagana. aisee,nilimind kweli! sad enough 5 yrs later nikamuona,i had to stop na kumsalimia. amechoka mbaya! namuuliza mr hajambo? ananiambia jamaa alipata chombo kipya,akampiga chini. so yuko kwa wazazi na wanae 4,anatafuta cheti cha kufoji akasome secretarial!ilibidi nimyeyushe abt my whereabouts manake alianza maswali ya kitoto.
bt anyways,std 7 tulifaulu kama 15 hivi, wengine wali-dropout b4 form 4 bt mostly wengi wako kwenye maofisi mjini. nilifarijika sana at a desperate moment kwenye ofisi moja naitwa na mkaka,kumbe tulikuwa nae primary,he was one class behind me.akanisaidia chap chap. wengi tunakutana na kuwasiliana kwa kweli,japo vidole havilingani. wengine ni drug addicts (mwingine unamuwaza hivi wakati ule ananitokea ningeingia line sijui ningeishia kuwa addict mwenzie ama ningemsaidia asiwe kumbaf?)
Kweli yeye ni Ebenezer, hata sasa Mungu bado ananisaidia
 
Wow,kumbu kumbu nzuri sana aisee.
Najiandaa kwenda kutoa sadaka ya shukrani maana dah.
 
Back
Top Bottom