The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,899
I'm honoured by your compliment.
Thanks to my new "name" here,the old one was not me,it forced me to
wear the character of the name hahaha.
what was ur old name
I'm honoured by your compliment.
Thanks to my new "name" here,the old one was not me,it forced me to
wear the character of the name hahaha.
what was ur old name
Hahaha,i never imagined so.
thanks once again.
<br />Mbona kila anaechangia hakuna asemae kuwa alifeli? Au ndio kama zile za baba kujisifu kuwa alikuwa namba moja darasani lakini akaishia la saba.
what was ur old name
Thank God... Niliona mimi aibu kuuliza....lol..
Ahaa std 7 2likuwa 50 secondary tuilenda wav2 was5, msichana1 tu alifanikiwa kuhitim form4 wav wote tkaenda adv na kuendelea zaidi dahhhh was karibia wote sifahamu hata mmoja yuko wapi na maisha gani ila wav 7 wanapiga mzigo wa maana
Sikuchaguliwa darasa la saba kati ya kumi waliopata nafasi tulikuwa kama mia,ila ambao hatukuchaguliwa std 7 ndio tuliopata div one f4!btw wengi tuliomaliza std tumekutana college,tuna kumbukumbu yetu mwezi wa december wengi wetu tunamshukuru kimaisha!
Mh! .......Clemmy I am Proud of you... You've got Sooooo much LOVE in you...
Those days,they knew me as Hitler,if you defined people according to
their avatars,but my user name was "Speaker",.....am still speaking though
.....am much comfortable with the new name.
It's healthy to be the really you.
Dinnah kumbe bado uko chuo? Soma dada, angalia usije ukawa addicted na JF nawe ukaishia mwaka wa pili.........baada ya form four karibu wote wako kijijini wanne tu waliendelea na shule, na mie ndio neema imefunguka kwa sasa nipo chuo, ...naomba Mungu anipe moyo wa ujasiri nisome nifaulu... ukifikiria ni ngumu kuamini, maisha magumu sana ndugu yangu
Well,
Nakumbuka darasa letu tulikuwa kama 30, tukafaulu wawili, kwenda Govt schools, mi na msichana mmoja tukikaa naye dawati moja. yeye Aliishia form four, hakubahatika kuendelea tena.
Advanced level, nakumbuka darasa letu karibia WOTE walienda chuo kikuu, na wengi wao wana kazi zao za maana, wengine wameshafanya Masters, wengine PhD
Nikirudi kwa wale wa darasa la saba, its so sad kwa wale waliobaki kijijini...maisha yamekuwa magumu sana sana...kuna ambao sijawahi kuwaona tangu tumemaliza, I wish I could see them.
Kuna wengine of course, darasa la saba ila walijaa ujasiriamali, na sasa hivi wako na maisha na pesa nzuri tu (sina uhakika kama wana furaha pia, you know what I mean)
All in all....hizi memories hizi, hivi wanaofaulu kwa mafungu siku hizi nz wenyewe wanajisikia kama siye enzi hizo? wakati tunasubiri matokeo so anxiously karibia na Christmas?