Teh teh Tized tengua kauli miss chagga ni mchepuko au hawala wa Mr Rocky?
Ofcoarse watu sasa hivi wameshaelewa identity ya Mr maana anagonganisha magari humu humu
we ndiyo uliacha kuiharibu ndoa yako mwenyewe nikiweka ushahidi hapa usikimbie.
Ulishayavulia nguo lazma uyaoge,
Tized na Dena Amsi wapo underground, wanajuana kuweka mambo okay. andaa moyo wako na uwe tayari kupokea lolote.
Wala hatutahitaji kukufunga kamba ili usilete fujo,
uondoke tu mdogo mdogo...
Anajua sana kuwa nyumba kubwa Dena Amsi habanduki na ndo maana miss chagga alikubaliana na hilo
Uhuru nani alimpa uhuru
Talaka imetolewa na nani
Kama hakuna talaka hakuna uhuru wowote ndoa yetu iko pale pale
Mbona unashabikia sanaa wewe au kinakuuma Dena Amsi kunyamaza kimya bila kuongea maana anaona maneno yenu hayamzuii kuendelea kuwa na mimi
Hakuna cha limbwata mwallu na yeye anajua kabisa kuwa yeye ni nyumba ndogo na nyumba kubwa Dena Amsi yupo hana mashaka na hilo kabisa
tatizo kuna viwatu vina mdomo hapa haswa kiwatengu na Tized hawataki kuona ndoa yangu inaimarika aise ni kunipiga vita tuu kila siku hata nikichepuka wanakuja kutangaza humu
Hiyo ndoa na miss chagga kaiapprove nani hapa
Ndoa yangu inayofahamika ni yangu na Dena Amsi mpaka kifo kitutenganishe
Hakuna cha kukabidhiwa hapa wala kushare na hakuna mke wa kushare hapa kiwatengu na Tized Dena Amsi ni mke wangu na kama nilichepuka kwa miss chagga ilikuwa ni mchepuko tuu ila ndoa haijavunjika
Mke wangu alisafiri muda mrefu ndo maana nikachepuka
ndo wewe huyu huyu,?? uliekuwa umekuwa zoba kwa miss chagga? umebadilika ghafla
Yaani nimewasoma wooote na fitina zenu nikasema ninyamaze ila nimeshindwa hata usingizi umekataa kabisa.
Sasa nasema hivi kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji sawa?? Hata msemeje Mr. Rocky is still my Husband na simwachi michepuko, sijui miss chagga alichepukika nae nasema hivi sijali kabisa hata tone sawa? My Husband nampenda na nitaendelea kumpenda nkt Huby usijali mpenzi
Karibu sana angalao tufahamiane, Mr Rocky alishakukukabidhi kwangu, Shahidi ni Ndugu mwandishi kiwatengu na mke wake huyu mpya.. anaitwa nani tena vileee.. naniiiii.... hewala miss chagga.
Nimekumisi pia Dena Amsi, I ve dreaming of this day.
Ntapitiamo tumahidi tuwili nkachemshe leo.. nna hamu mieeee!!!
Safi sana Dena Amsi una mapenzi ya ku share hadi shetani anakuogopa hivi kweli unampenda Mr Rocky? Mbona wanakutafunia na miss chagga huna Wivu?Yaani nimewasoma wooote na fitina zenu nikasema ninyamaze ila nimeshindwa hata usingizi umekataa kabisa.
Sasa nasema hivi kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji sawa?? Hata msemeje Mr. Rocky is still my Husband na simwachi michepuko, sijui miss chagga alichepukika nae nasema hivi sijali kabisa hata tone sawa? My Husband nampenda na nitaendelea kumpenda nkt Huby usijali mpenzi