Nimewamiss!!!!!!!!!!!!!!

Nimewamiss!!!!!!!!!!!!!!

Karibu sana angalao tufahamiane, Mr Rocky alishakukukabidhi kwangu, Shahidi ni Ndugu mwandishi kiwatengu na mke wake huyu mpya.. anaitwa nani tena vileee.. naniiiii.... hewala miss chagga.

Nimekumisi pia Dena Amsi, I ve dreaming of this day.
Ntapitiamo tumahidi tuwili nkachemshe leo.. nna hamu mieeee!!!
 
Last edited by a moderator:

Kwa mkataba upi nilikukabidhi mkie wangu wewe Tized
nishasema yeye ni mke wangu halali wa ndoa hao wengine wote ni wa kupita tuu
Na habari za kusema unampenda mke wangu zife kabisa nisikusikie tena
Njoo karibu mke wangu Dena Amsi nikubusu maana nimekumiss sana
 
tick tick tick...proved...

Dena Mr Rocky alisema hakutaki tena
na alikukabidhi rasmi kwa mkuu Tized,
na tushukuru sana kwan umekuja kwa wakati muafaka
kabisa. Take a chair!!
 
ushapoteza patano tokea mwanzo.
ngoja tumweleze Dena Amsi kila kitu afu mwenyewe atapima.

braza hapa umepoteza,just sticky with ur miss chagga mchunane vya kutosha.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Jamani hamjambooooooooooo.....

Nilikuwa porini navuna mahindi network hakuna nimerudi mjini sasa.

Muwe na siku njema wote.

Nawapenda.

DA
Karibu tena nyumbani mamii. Hebu niambie.Huko Dareda bei ya mahindi gunia moja ni kiasi gani?
Nataka kuja kuhemea huko.
 
tick tick tick...proved...

Dena Mr Rocky alisema hakutaki tena
na alikukabidhi rasmi kwa mkuu Tized,
na tushukuru sana kwan umekuja kwa wakati muafaka
kabisa. Take a chair!!

ushapoteza patano tokea mwanzo.
ngoja tumweleze Dena Amsi kila kitu afu mwenyewe atapima.

braza hapa umepoteza,just sticky with ur miss chagga mchunane vya kutosha.

ndo wewe huyu huyu,?? uliekuwa umekuwa zoba kwa miss chagga? umebadilika ghafla

Hiyo ndoa na miss chagga kaiapprove nani hapa
Ndoa yangu inayofahamika ni yangu na Dena Amsi mpaka kifo kitutenganishe
Hakuna cha kukabidhiwa hapa wala kushare na hakuna mke wa kushare hapa kiwatengu na Tized Dena Amsi ni mke wangu na kama nilichepuka kwa miss chagga ilikuwa ni mchepuko tuu ila ndoa haijavunjika
Mke wangu alisafiri muda mrefu ndo maana nikachepuka
 
Last edited by a moderator:
kiwatengu mbona mbea sana wewe
Karibu my wife wangu kipenzi cha roho yangu nilikumissije aise
Yaani hapa nina furaha debe kukuona tena my wife wangu
Achana na akina kiwatengu na mwekundu na Tized na Ntuzu, mwallu, Khantwe, Honey Faith, miss chagga, Mentor, Mndengereko hawana sera hao
Watakuambia uwongo mwingi ila ni mimi na wewe tuu mpaka kufa
Nakupenda sana my dear wife wangu

Hahahahahahaha uwiiiiiiii mbavu zangu mie. @MrRocky hivi mkeo missChagga yupo wapi nina shida nae
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ndoa na miss chagga kaiapprove nani hapa
Ndoa yangu inayofahamika ni yangu na Dena Amsi mpaka kifo kitutenganishe
Hakuna cha kukabidhiwa hapa wala kushare na hakuna mke wa kushare hapa kiwatengu na Tized Dena Amsi ni mke wangu na kama nilichepuka kwa miss chagga ilikuwa ni mchepuko tuu ila ndoa haijavunjika
Mke wangu alisafiri muda mrefu ndo maana nikachepuka

dena yuko huru.
na ni vyema ukamwachia nafasi.
kama na yeye ataamua kufanya mchepuko its okay.
Ila what goes around comes around...
 
Last edited by a moderator:
dena yuko huru.
na ni vyema ukamwachia nafasi.
kama na yeye ataamua kufanya mchepuko its okay.
Ila what goes around comes around...

Uhuru nani alimpa uhuru
Talaka imetolewa na nani
Kama hakuna talaka hakuna uhuru wowote ndoa yetu iko pale pale
Mbona unashabikia sanaa wewe au kinakuuma Dena Amsi kunyamaza kimya bila kuongea maana anaona maneno yenu hayamzuii kuendelea kuwa na mimi
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
miss chagga loo..shake well the limbwata...ashaanza kukimbia

Hakuna cha limbwata mwallu na yeye anajua kabisa kuwa yeye ni nyumba ndogo na nyumba kubwa Dena Amsi yupo hana mashaka na hilo kabisa
tatizo kuna viwatu vina mdomo hapa haswa kiwatengu na Tized hawataki kuona ndoa yangu inaimarika aise ni kunipiga vita tuu kila siku hata nikichepuka wanakuja kutangaza humu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom