Ameniambia kuwa ameenda kuchukua kozi ya mashairi akirudi lazima ukimbiehawezi kitu huyo..akiniona anasepa , maana nishamchana vibaya kwa Mohamed Shossi kule!...ananibembeleza mi simtaki!
Naomba umuulize PJ shares zangu Arusha zimeongezeka kwa aslimia ngapi????
Hashycool yule swahiba wangu sana dakika mbili marafiki dakika mbili maaduiKumbe mliyamaliza na Hashcool niliacha mnakaugomvi hivi
Ameniambia kuwa ameenda kuchukua kozi ya mashairi akirudi lazima ukimbie
Unaogopa ukimuuliza atakujibu kwa mashairi lol!!!!unless nijue ni bss gani vinginevyo simuulizi,,,
Mkuu hiyo location naomba uniletee eemwani au omuramba
Khaa!! Una-pick vitu fasta fasta kumbe wewe sio SLOW LEANER kama Mama BusaraMmhh wewe unakujua huko??? Sikuwezi
Hataweza...Huyo ndo SLOWEST LEARNER katika kampuni yetu...itamgharimu miaka 5 na ma'supp kibao!...ni msalaba huyu jamani!
Mmmmmhhh haya tena makubwa msigombane bana nyie wakubwa sasa