multiple ID mbaya sana hasa ukihisiwa
Kitambo kimepita sijafungua page ya MMU, nilibanwa sana na majukumu wapendwa ila kwa sasa yamepungua ntakuwa angalau siruhusu siku ipite bila kufungua na ku-comment ktk page hii. Jioni njema na usiku mwema wapendwaaaa................!!!!!!!!!!!!