Amsterdam hebu rudi kwa jina lako la zamani bana sisi tupo sana tuMtambuzi yeye anaendelea kunitag tuuu cacico, BADILI TABIA FirstLady1 gfsonwin Kaizer ruttashobolwa (mzee wakujificha pembeni) Rutashubanyuma Tuko Bishanga Preta charminglady King'asti The Boss Kongosho nilikuwa nimsahau SnowBall MadameX BAK..............NAWAMIS SANA SANA ILA nitarudi tena KAMA ZAMANI
Mamndenyi hata wewe nimekusahau kwa bahati mbaya sana ila nimejitahdi kuwakumbuka wengi nakiri wamenimis maana japo sipo wanaendelea tu kunitag kuniqotes japo sijibu chochote
SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA
alikuwa safarini hapa
ahahahahahah!....
ngoja kwanza we mzee....kwamba mamndenyi nae ni mpwaaz for them wapwaaaaz???????
bhaaaaaaaaaaaaaaaaasssssss
...Mpwa unakumbuka safari ya wapppwaaaaaaz Bagamoyo?
Soma katikati ya mistari hapo.....