Nimewaleteeni zawadi

Nimewaleteeni zawadi

Huo mkungu haukatwi bali mlaji anapanda ngazi ananyofoa chane za ndizi za juu zilizokomaa na kuacha za chi ziendelee kukomaa! Mnakula mwaka mzima kwa syle hiyo! Lol, raha sana! Hata majirani wanaweza kuja kuchuma ndizi!
 
image001.jpg
this is a nice ritual!
 
iyo ni barraa sasa apo si mnakula adi ukame unapita..? manake dah..! hebu ulizia mbegu arafu ntamtuma koku..! aah kumbe yuko shuure ngoja nimuangarie huyu mdogo wake..... weee mutaaaa uko wapi nataka nikutume mbegu ya mughomba..!
 
Back
Top Bottom