Nimewahi kushangaza kijiji

Nimewahi kushangaza kijiji

1259f29cfff5e6a3de3e2aaeacddc0c9.jpg
e42e82569bf74007327176b24910662c.jpg


Unakumbuka nini mwana JF???
Mimi nimewahi kutoa dozi kwa vijana 6 hadi nikapelekwa kupimwa akili...!!!
Dozi ya aina gani?
 
Uliishia la 6 eeeeh??
Huko mbeleni namba yako ilikuwa ipi?
Kama ilivyo vijana wengi hulewa sifa na kuharibika ndivyo ilivyokuwa kwangu, nimeishia chuo na hivi sasa nna kazi yangu nzuri na familia yangu
 
Sio sehemu yake avatar kama hii nivizuri ukaitoa, tushakujua juwa wewe ni mwanajeshi, mbona name tag huoneshi, na service branch umebandua
Unachokiwaza ni tofauti na ulichokiandika hapo, emb andika unachokifikiria usirukie mbele
 
Mkimaliza ya kwenu nyie watu wa vijijini mtwambie na sisi wa mjini tutaje ya kwetu.
 
Majitu mengine bhana kila siku yana ambiwa lakini wapi. sijui yamekula maharagwe ya wapi!!
 
Nilikuwa mmoja ya wanafunzi waliokuwa wanayamudu vizuri masomo ya sayansi kiswahili enzi hizo ila maths ilikuwa ngumu kwangu kiukweli
 
Nilipata zote test ya prof. msaki pale udsm alafu anaefatia ana nusu ya niliopata. Ad akaniuliza umejulia wapi.
 
Wakati huo baada ya kusoma hadithi mwalimu alikua anaacha zoezi la kufanya linaitwa MIUNDO.Nani analikumbuka?
Mimi nilikuwa mtata kwenye imla, japokuwa nilikuwa sing'ai darasani, ila kwenye imla nilikuwa nawapita hata wakali wa top ten wa shule.
 
Duh kipind hicho niko hot ktk hisabati na english mbayaaaa
Mimi masomo yote hayo nilikuwa hovyo, english nilikuwa sitaki hata kuisikia, hisabati ndiyo kabisa, nakumbuka mock darasa la saba hisabati nilipata 6/50, wenzangu walinicheka saanaaa, nilivyoingia kidato cha kwanza nikaanza kujibidiisha kwenye hisabati tu, nakumbuka maksi yangu ya juu sana kwenye hisabati kuipata ilikuwa form 3, nilipata 78%, nilimpita mpaka aliyeongoza maths shule nzima form 2 necta, baada ya kumpita huyo nikaona kumbe ninaweza, form 4 necta nikatoka na B ya namba. Nikawapita mpaka waliokuwa wananicheka primary. Mpaka sasa huniambii kitu kwenye namba japo primary nilikuwa napata (5-10)/50.
 
Back
Top Bottom